bahaticaro
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 100
- 31
mim ni msichan nina miaka 25 marafik zangu wa zaman wananiboa cz tumekuwa sio marafik tena tumekuwa ni watu wa kuchunguzan na kuchekana kam mwenzetu akikosea kwenye life something wich is not good alafu as we move on na maisha interest zinatofautian...huh naborekaje nimekuwa ni mtu wa kulala tu home haswa nikiwa free so natafuta marafik wapya but with condition mtaratibu no mambo mengi anayependa kujishughulisha ntafurahije jaman.....:smile-big: