natafuta friends wa kike

natafuta friends wa kike

bahaticaro

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
100
Reaction score
31
mim ni msichan nina miaka 25 marafik zangu wa zaman wananiboa cz tumekuwa sio marafik tena tumekuwa ni watu wa kuchunguzan na kuchekana kam mwenzetu akikosea kwenye life something wich is not good alafu as we move on na maisha interest zinatofautian...huh naborekaje nimekuwa ni mtu wa kulala tu home haswa nikiwa free so natafuta marafik wapya but with condition mtaratibu no mambo mengi anayependa kujishughulisha ntafurahije jaman.....:smile-big:
 
Sasa kama umewachukia rafik wa zamani wapya usowahi kuwaona utawezana nao? Ukimchukulia mtu alivyo hakusumbui kichwa! Ishi kwa hiyo kanuni u will enjoy your friendship! Otherwise daily utakuwa watafuta wapya! Btw karibu!
 
Rafiki ina maana kubwa........na kuutafuta si rahisi as unainvolve upendo wa dhati toka moyoni mwa mtu.

Nadhani hao ulokuwa nao ni mashost tu wa kupeana kampani.
 
KAMA tu awe rafiki sasa hicho kipengele kama lzm awe anajishughulisha cha nn?Au unataka rafiki ambaye una uhakika atakuwa anakupa pesa ukikwama na unaogopa kama HAJISHUGHULISHI ukimpiga mzinga atasema hana kitu?
 
Unakalia wapi weye? na unajishughulisha na nini? nijibu naweza kukufikiria.
 
Kama kweli unatafuta marafiki basi Muombe Mungu akupe marafiki unaowataka kwa sababu yeye ana uwezo wa kukupa rafiki sawasawa na kiu yako.
 
mim ni msichan nina miaka 25 marafik zangu wa zaman wananiboa cz tumekuwa sio marafik tena tumekuwa ni watu wa kuchunguzan na kuchekana kam mwenzetu akikosea kwenye life something wich is not good alafu as we move on na maisha interest zinatofautian...huh naborekaje nimekuwa ni mtu wa kulala tu home haswa nikiwa free so natafuta marafik wapya but with condition mtaratibu no mambo mengi anayependa kujishughulisha ntafurahije jaman.....:smile-big:

Haaah! Samahani kumbe hapo wakiume hatuhusiki lkn kama huwa unalala nyumbani kwakukosa kwa kwenda mimi nitakufaa kwa kweli,ni mcheshi hakika utainjoy na hautajutia kunfanya rafik yako ila tu ni wa kiume vp hauwezi kunifikiria hapo? hepu ni PM basiii!
 
Teheteheeee. Nichukue mm najishugulisha sana. Then utapata pa kwenda kama ukinikubali. Ila ujue mimi ni mwanaume
 
Back
Top Bottom