Natafuta Fundi mwenye uwezo wa kufuta DPF kwenye Mazda

Ewaaaaàaah! Hapo sawa
 
Gari ina masharti kama waganga wa SISIEMU!
 
Yeah nafaham kwamba inatakiwa after every certain time inabidi utafute ruti ndefu ili ijifute sasa sie wengine kupata muda wa kuitungua kila baada ya muda flani ndo changamoto ndomana nataka niitoe tu
Kutoka Mapinga mpaka Posta haitoshi?
 
Mcheki Amur bei zake ni rafiki mimi nilitolea kwake miezi mitatu sasa sijapata changamoto yoyote
Hana bei rafiki kivile. Sema ndio ivyo hauna jinsi ni kutoa. Mwaka jana nataka kutoa aliniambia 1.3 sahivi wamekua wengi watoa huduma sahivi amepunguza. Wapo hadi wa 500k siwezi semea ubora wa kazi though.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…