Natafuta Fundi ujenzi

Natafuta Fundi ujenzi

Mrembo wetu BabyMamy naona umeshafika Moshi Bomang'ombe kuhesabiwa. Mafundi tunaogopa kuingia mkataba wa kazi maana hapa hatuelewi ulichoandika kama ni akili zako au mbege imeanza kufanya kazi 🤣 🤣 🤣
 
Hello sweethearts.

Kama wewe Ni fundi ujenzi,au una idea na kujenga,Bei za vifaa,kiwanja etc..njoo tupige story

...Nina million tano hapa.
Naplan kiwanja Cha 15/20
Halafu fundi anijengee Apo kitu Cha kuishi [emoji174]

..Eneo ninalotaka Ni boma ng'ombe Moshi.
Kuna kijana wangu jirani yako hapo Boma nikikupatie utanishukuru, ana kazi zimenyooka hatari.
JApo ka pesa chako kadogo
 
Kuna kijana wangu jirani yako hapo Boma nikikupatia utanishukuru, ana kazi zimenyooka jatari.
JApo ka pesa chako kadogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani mnipe uyo ndugu fundi
 
Hhahaa oyaa [emoji1787][emoji1787] hii kazi lazima uwe ngastuka machale kundesa bila hivyo utalia
Oyaaa,unastuka nin Sasa[emoji23][emoji23][emoji23] mi nakukabidhi m5 yote mkonon narud zangu nlikotoka[emoji23][emoji23][emoji23] nkirud Xmas ijayo unikabidhi Jambo langu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiamua ikule
 
milioni tano labda ujenge chumba kimoja kama stoo, halafu wewe ndio uwe kibarua saidia fundi kupunguza gharama.
 
Bika Shaka dear Tony, kwangu kitakua Ni chumba na Wala sio stoo.
sijasema stoo kwa maana mbaya lakini, nakushauri ili kupunguza gharama na project kukwama njiani tafuta fundi akague eneo kisha akupe makadirio ya mahitaji, kisha andaa mahitaji na usimamie mwenyewe ujenzi ikiwezekana fanya baadhi ya kazi kupunguza gharama za vibarua.
Screenshot_2023-12-25-18-04-44-582_com.android.chrome.jpg

huu mchoro unaweza kukufaa ukajenga chumba na choo pekee halafu ukaacha matoleo ya kuunga sebule baadae ukipata nguvu.
 
sijasema stoo kwa maana mbaya lakini, nakushauri ili kupunguza gharama na project kukwama njiani tafuta fundi akague eneo kisha akupe makadirio ya mahitaji, kisha andaa mahitaji na usimamie mwenyewe ujenzi ikiwezekana fanya baadhi ya kazi kupunguza gharama za vibarua.
View attachment 2852854
huu mchoro unaweza kukufaa ukajenga chumba na choo pekee halafu ukaacha matoleo ya kuunga sebule baadae ukipata nguvu.
Asante Tonny,Sasa umekuja kwny point..lengo la post yangu Ni kuomba makadirio yatakayoendana na 5 M.
 
Back
Top Bottom