Natafuta fundi wa flat tv

Natafuta fundi wa flat tv

Bjmkangala

New Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Nina flat tv mbili LG inchi 50 zote zina tatizo kwenye HDMI port. Natafuta fundi mtaalam ili aweze kunirekebishia tatizo hili. Wasiliana nami kwa simu namba 0675682895.
Asante.
 
Sitasahau my 55 inch smart LG ikazima ghafla just 3 days kabla ya kombe la dunia. Hadi leo nimelipaki ukutani, lanawaka, remote inafanya kazi, sauti inasikika lakini NO Picture!
 
Badilisha Ram weka nyingine mpya...
 
Sitasahau my 55 inch smart LG ikazima ghafla just 3 days kabla ya kombe la dunia. Hadi leo nimelipaki ukutani, lanawaka, remote inafanya kazi, sauti inasikika lakini NO Picture!
Bulbu au inveta zimekufa,tatizo sio kubwa sana hilo,na mimi lilinipata tatizo kama hilo,kwenye giza ukiwasha ukamulika na tochi kwenye kioo kwa mbele utaona picha kwa mbali iko faint
 
Zigawe alafu nunua moja mpya!
Zimeshuka bei sana!
 
Sitasahau my 55 inch smart LG ikazima ghafla just 3 days kabla ya kombe la dunia. Hadi leo nimelipaki ukutani, lanawaka, remote inafanya kazi, sauti inasikika lakini NO Picture!
Hiyo inatengenezeka inategemea unakopatikana inch43 nilitengenezea sh elf70 ikapona
 
Bulbu au inveta zimekufa,tatizo sio kubwa sana hilo,na mimi lilinipata tatizo kama hilo,kwenye giza ukiwasha ukamulika na tochi kwenye kioo kwa mbele utaona picha kwa mbali iko faint
Mkuu unamjua fundi wa tatizo hili? TV yangu inatatizo hili kwa sasa
 
Back
Top Bottom