Bjmkangala
New Member
- Jul 9, 2018
- 2
- 0
Nina flat tv mbili LG inchi 50 zote zina tatizo kwenye HDMI port. Natafuta fundi mtaalam ili aweze kunirekebishia tatizo hili. Wasiliana nami kwa simu namba 0675682895.
Asante.
Asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo wapi mkuu nami nna lg ina tatizo kidogoNenda ofs za LG watakusaidia
Badilisha Ram weka nyingine mpya...Sitasahau my 55 inch smart LG ikazima ghafla just 3 days kabla ya kombe la dunia. Hadi leo nimelipaki ukutani, lanawaka, remote inafanya kazi, sauti inasikika lakini NO Picture!
Bulbu au inveta zimekufa,tatizo sio kubwa sana hilo,na mimi lilinipata tatizo kama hilo,kwenye giza ukiwasha ukamulika na tochi kwenye kioo kwa mbele utaona picha kwa mbali iko faintSitasahau my 55 inch smart LG ikazima ghafla just 3 days kabla ya kombe la dunia. Hadi leo nimelipaki ukutani, lanawaka, remote inafanya kazi, sauti inasikika lakini NO Picture!
Iyo inatengenezekaSitasahau my 55 inch smart LG ikazima ghafla just 3 days kabla ya kombe la dunia. Hadi leo nimelipaki ukutani, lanawaka, remote inafanya kazi, sauti inasikika lakini NO Picture!
Hiyo inatengenezeka inategemea unakopatikana inch43 nilitengenezea sh elf70 ikaponaSitasahau my 55 inch smart LG ikazima ghafla just 3 days kabla ya kombe la dunia. Hadi leo nimelipaki ukutani, lanawaka, remote inafanya kazi, sauti inasikika lakini NO Picture!
Ikikupendeza tufanye bishara mkuuSitasahau my 55 inch smart LG ikazima ghafla just 3 days kabla ya kombe la dunia. Hadi leo nimelipaki ukutani, lanawaka, remote inafanya kazi, sauti inasikika lakini NO Picture!
Baada ya kuambiwa inatengenezeka kwa urahis sasa wataka umlalie?Ikikupendeza tufanye bishara mkuu
Mkuu unamjua fundi wa tatizo hili? TV yangu inatatizo hili kwa sasaBulbu au inveta zimekufa,tatizo sio kubwa sana hilo,na mimi lilinipata tatizo kama hilo,kwenye giza ukiwasha ukamulika na tochi kwenye kioo kwa mbele utaona picha kwa mbali iko faint