Natafuta fundi wa kuweka fog lights kwa gari

Natafuta fundi wa kuweka fog lights kwa gari

Fog light kazi yake nini?
Fog light mkuu zina kazi ya kufanya gari lako lionekane na dereva anayekuja upande wako....yaani wewe ukione chombo vha mwenzako na mwenzako akione chombo chako..

Zinatakiwa ziwashwe wakati wa mchana kama kuna ukungu, mvua, vumbi au moshi unaotanda barabarani..

Nitoe mfano mrahisi siku ya jana asubuhi kwa sisi wa Arusha kulikuwa na hali ya ukungu mkali na mvua nyepesi, dereva huoni mbele zaidi ya mita 100 ....sasa huu ndiyo wakati muafaka wa kutumia fog light ili gari lako lionwe na madereva wengine...

Nchi kama Marekani ni sheria kuwasha fog light wakati wote, kama gari halina fog light unatakiwa uwashe Low beam light...kwa sababu wakianza kipindi cha ukungu na kudondoka kwa theluji, kipindi hiki hudumu kwa miezi kadhaa..

Nchini kwetu sheria hailazimishi kuwasha fog light mchana au kutokuwasha.......ndiyo maana usishangae mchana umewasha zako fog light, watu wqnakupigia miluzi weweee zima taa..[emoji28][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fog light mkuu zina kazi ya kufanya gari lako lionekane na dereva anayekuja upande wako....yaani wewe ukione chombo vha mwenzako na mwenzako akione chombo chako...
Hahah nimekelewa mkuu, ukungu unaleta shida sana kuona mbele
 
Hahah nimekelewa mkuu....ukungu unaleta shida sana kuona mbele
Ndiyo mkuu
Ukungu unaleta shida kuona mbele
Na kama huoni mbele,
Ina maana na dereva mwenzako naye haoni mbele..
Hivyo mnawasha fog light ili mbele yako uone taa za mwenzako, hapo utajua kuna gari linakuja mbele

Na dereva mwingine naye ataona mbele kuna taa, atajua kuna gari linakuja mblea...

Vinginevyo madereva wote mkiwa hamuoni mbele,
Wakati magari yanaenda mbeke,
Wallah mtaelewana mbele kwa mbele..[emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom