Asante bro. Nilifanikiwa kwenda. Nimefunga taa nyuma karibu na bonba la Exhaust (urembo tu haina maana yoyote, si unajua sisi vijana).
Gari yangu usiku kwa nyuma inamulika mwanga wa blue, unapiga kwa chini hivi. Safiiiiiii.
Nimechukua namba za majamaa pale, next week unaenda tena kuli-pimp zaidi gari langu. Nalipenda gari langu, japo ni babywoka.
Jamaa wananisifia eti "mwanangu unaitunza kweli gari yako, kama mpya vile..." Wangejua gharama nazoingia kuli-pimp gari mammae.
View attachment 1627359
View attachment 1627361