Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Umeachanganya madesa jombaaSerikali ilishakataza aina hii za taaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeachanganya madesa jombaaSerikali ilishakataza aina hii za taaa
Taa zozote za myongeza tofauti na zilizowekwa kwenye muundo wa gari zimeshakatazwaUmeachanganya madesa jombaa
Hujui unachoongea.Taa zozote za myongeza tofauti na zilizowekwa kwenye muundo wa gari zimeshakatazwa
huyo aliyelipeleka gari na fog lamp kule Arusha labda, lkn asizitumie pasipo na ukungu atakamatwa
ila Sheria ipo na faini ni 30,000/ kuwasha taa hizo mchana au usiku
Pimp Gari Ila usiguse ishu za umeme, engine maana humo kuunguza Gari Ni dakika SifuriFog ambayo nimefunga sijanunua Lumumba pia kitu ambacho kinasababisha shoti ni waya,kama utatumia waya za bei rahisi lazima taa ziungue
Hujui unachoongea.
Kwamba Fog lights zinasababisha ajali kwa kumzuia dereva wa mbele kuona? Hivi unazijua Fog light wewe na matumizi yake?
Rudi driving school
Kama sijakosea sport lights ndizo zilikatazwa ila fog lights hazijakatazwa kwa sababu magari mengi siku hizi yanakuja na option ya fog light...hata kama halina lakini utakuta pale kwenye bumper la mbele kuna alama ya kuweka fog lightsSerikali ilishakataza aina hii za taaa
Hata hawa makamanda wetu wa usalama barabarani nadhani hawajui maana na umuhimu wa fog lights..View attachment 1634507
nimekukubalia km umeipeleka Arusha sawa lk mitaa taa yamepigwa marufuku soma nyongeza ya Sheria za barabarani 1996 na kusaini wa na B.W. Mkapa https://www.tanzania.go.tz/egov_uploads/documents/The_Road_Traffic_(Amendment)_Act,_16-1996_en.pdf
sasa hapa TZ hakuna Jangwa wala ukungu, ni nani humuoni njiani, haya na LED lamp na maspotlight
Ramadhani Mpinga alishatangaza taa za kuongezea ni marufuku mpaka vingora ni Sheria ya 1996
Duh itabidi nitafute Mwl wa Driving hata VETA kwani mm hawajanifundisha hao watu kuwa mchana kweupe utumie Fog kwenye lami za DSM
Taa zozote kali haziruhusiwi barabarani kimataifa labda kupelekea watoto shule au sokoni,
inatakiwa taa kubwa mbili tu kwa mbele tena nyeupe na taa mbili nyekundu kwa nyuma
sasa mara blue kwa chini mara soma sheria iliyotungwa na Bunge kifungu 39C sub section 2
View attachment 1634506
Polisi hawazitaki au sheria zinakataza?Kuna taa zinawaka kama kimulimuli, hizo polisi hawazitaki...utakuta vijana wamefunga kwenye Toyo..
polisi kutokukusimamisha haina maana kuwa zinakubalika...Polisi hawazitaki au sheria zinakataza?
Maana kwenye babywoka yangu pale mbele ya bampa (kwa chini) nimefunga kitaa chembamba kinawaka waka kama kimulimuli.
Na kila siku Askari napishana nao, hawajawahi kunisimamisha.
Mbona magari mengi tu hapa Dar nayaona yamefunga taa za kimulimuli?
Kwanini mkuu!? Sababu Nini hasa ?Serikali ilishakataza aina hii za taaa
Zinasaidia sana hizi kwenye mvua nzitoHata hawa makamanda wetu wa usalama barabarani nadhani hawajui maana na umuhimu wa fog lights..
Ingekuwa wanajua wangeweka sheria ziwe zinawashwa iwe kiangazi, iwe mvua, iwe ukungu..
Fog lights hazikatazwi kwa sababu kwa sababu hazina madhara yoyote na haziumizi macho..
Kinachokatazwa ni yale masport lights, unakuta mtu ameyafunga manne juu ya Bonnet ya gari, akiyawasha full lazima uache njia..
Kuna mataa mengine ya kichina yanawaka kama tochi yanaumiza macho, hayo hayaruhusiwi..
Kuna taa zinawaka kama kimulimuli, hizo polisi hawazitaki...utakuta vijana wamefunga kwenye Toyo..
Kwenye magari yanayotoka siku hizi fog lights imekuwa ni moja ya basic options..
Askari mwelewa hawezi kukukama kisha umewasha fog lights....
Huku Arusha tunaziwasha tu
Bravooo Mkuupolisi kutokukusimamisha haina maana kuwa zinakubalika...
Kwani ni makosa mangapi ya barabarani tunafanya napolisi wanatuacha tunaenda..?
We njagu acha mbwembweBravooo Mkuu
hawajui kuwa hata kuvaa sandles (kandambili, katambuga) kula muwa, kuongea na simu nk wakati unaendesha gari ni makosa, ni taarifa tu wajue kuwa ukiandikiwa 30,000/ inabidi uikubali ukiikataa wanauwezo wa kuifungia gari na dereva kupelekwa Mahakamani
ndio maana tanahabarishana tu kuwa hizo taa zilizozidi ukaziwasha pasipohusika ukilimwa faini usibishe
na mm nilikuwepo, nikakusamehe kukulima chetiKwenye kufunga fog light kuweni makini wapendwa kuna jambo lilinikuta[emoji848]