Nielekeze gerezani mtaa gani to be exact. Nataka wakanifungie taa ile inatoa mwanga wa blue tupu inafungwa huku nyuma karibu na exhaustNimefunga fog lights za round pale mitaa yetu ya Gerezani Kariakoo bei yake kufunga ni tsh 10000 Tu..
Au nenda mitaa ya Lumumba utakutana na wafungaji kibao wa hizo fog
Gerezani Kariakoo pembezoni mwa ukuta wa shule ya sekondari ya DAR es salaam (DAR es salaam secondary school).Nielekeze gerezani mtaa gani to be exact. Nataka wakanifungie taa ile inatoa mwanga wa blue tupu inafungwa huku nyuma karibu na exhaust
Fundi aliyenifungia fog aliniambia ili taa zisipige shoti ni Bora tutumie waya za mtumba(ukifika mitaa ya Gerezani utazikuta Kwa wale mafundi hizi waya zinatolewa Kwenye Magari yaliyopata ajali)..Noted! So nyaya ndo kitu Cha kuangalia eh!
Asante bro. Nilifanikiwa kwenda. Nimefunga taa nyuma karibu na bonba la Exhaust (urembo tu haina maana yoyote, si unajua sisi vijana).Gerezani Kariakoo pembezoni mwa ukuta wa shule ya sekondari ya DAR es salaam (DAR es salaam secondary school).
Kuna mafundi kibao hapo pia ukishafika mitaa hiyo utaona Tu Magari yanatengenezwa na mengine yamepaki tu
Pamoja Sana mkuu...Asante bro. Nilifanikiwa kwenda. Nimefunga taa nyuma karibu na bonba la Exhaust (urembo tu haina maana yoyote, si unajua sisi vijana).
Gari yangu usiku kwa nyuma inamulika mwanga wa blue, unapiga kwa chini hivi. Safiiiiiii.
Nimechukua namba za majamaa pale, next week unaenda tena kuli-pimp zaidi gari langu. Nalipenda gari langu, japo ni babywoka.
Jamaa wananisifia eti "mwanangu unaitunza kweli gari yako, kama mpya vile..." Wangejua gharama nazoingia kuli-pimp gari mammae.
View attachment 1627359
View attachment 1627361
Fundi aliyenifungia fog aliniambia ili taa zisipige shoti ni Bora tutumie waya za mtumba(ukifika mitaa ya Gerezani utazikuta Kwa wale mafundi hizi waya zinatolewa Kwenye Magari yaliyopata ajali)..
Mita moja inauzwa tsh 3000 tofauti na waya za kichina za bei rahisi zinazouzwa tsh 1500 Kwa Mi
Ahsante Sana mkuuFundi aliyenifungia fog aliniambia ili taa zisipige shoti ni Bora tutumie waya za mtumba(ukifika mitaa ya Gerezani utazikuta Kwa wale mafundi hizi waya zinatolewa Kwenye Magari yaliyopata ajali)..
Mita moja inauzwa tsh 3000 tofauti na waya za kichina za bei rahisi zinazouzwa tsh 1500 Kwa Mita
Tupe mrejesho kamanda.A
Ahsante Sana mkuu
Jana nilikabidhiwa hiyo gari mitaa ya Gerezani na mafundi wameshafunga nimeisimamia mwanzomwisho mpaka Dereva anaondoka nayo kuelekea Arusha pia nashukuru maana nimeongeza marafiki zaidi wa kusaidiana Kwenye maishaTupe mrejesho kamanda.
Ulienda? Na wewe umetumia 35,000 kama jamaa
Kwa Magari yetu haya madogo inawezekana kufunga?Nimeona jeep fulani imefungwa fog lights mbele kidogo ya side mirrors.
Ile concept niliipenda.
Nitaijaribu.
Sidhani.Kwa Magari yetu haya madogo inawezekana kufunga?
Zinakuwa hivi.Kwa Magari yetu haya madogo inawezekana kufunga?
Aisee hizi taa nimezielewa Sana Ila zinapendeza zaidi Kwenye Magari ya juu kama SUV's
Ni kweli.Aisee hizi taa nimezielewa Sana Ila zinapendeza zaidi Kwenye Magari ya juu kama SUV's
Hahahaha πππunataka kuwinda mzee?
Serikali ilishakataza aina hii za taaaHabari if! Naomba mwenye kumjua fundi makini wa kuniwekea fog lights kwenye gari yangu Toyota axio kwa Dar au Arusha , mkinifahamisha pia gharama nitashukuru , fog lights za round ( HID bulbs)
Ukiziwasha hizi taa unaweza kusababisha ajali kubwa sana, mwenzako unaepishana nae akashindwa kuona vizuri mkagonganaKama zinavoitwa βfogβ light ni taa za kukuwezesha kuona vizuri wakati wa ukungu, ila huku kwetu zinasaidia kumulika vizuri lami hasa kwa chini uone vema!
Dahh, safi sana mzee ... Safi kabisaAsante bro. Nilifanikiwa kwenda. Nimefunga taa nyuma karibu na bonba la Exhaust (urembo tu haina maana yoyote, si unajua sisi vijana).
Gari yangu usiku kwa nyuma inamulika mwanga wa blue, unapiga kwa chini hivi. Safiiiiiii.
Nimechukua namba za majamaa pale, next week unaenda tena kuli-pimp zaidi gari langu. Nalipenda gari langu, japo ni babywoka.
Jamaa wananisifia eti "mwanangu unaitunza kweli gari yako, kama mpya vile..." Wangejua gharama nazoingia kuli-pimp gari mammae.
View attachment 1627359
View attachment 1627361
Una uhakika na unachoongea?Ukiziwasha hizi taa unaweza kusababisha ajali kubwa sana, mwenzako unaepishana nae akashindwa kuona vizuri mkagongana