Natafuta fundi wa kuweka fog lights kwa gari

Kwenye kufunga fog light kuweni makini wapendwa kuna jambo lilinikuta[emoji848]
Hata mimi kuna jambo liliwahi kunikuta miaka 5 iliyopita...nilijikuta ninasuka upya bando la wanya urefu kama wa mita moja hivi....
Kuanzia siku hiyo, chawa wasiojielewa wanaojiita mafundi kwangu mimi wapite hivi..[emoji118][emoji118][emoji124][emoji124]
 
Kwenye kufunga fog light kuweni makini wapendwa kuna jambo lilinikuta[emoji848]
Fogi laiti ni muhimu, hasa kwa watembeaji usiku na kati mazingira nzingira tofauti. Ila kama unatembea posta to upanga hazina haja
 
Gerezani Kariakoo pembezoni mwa ukuta wa shule ya sekondari ya DAR es salaam (DAR es salaam secondary school).
Kuna mafundi kibao hapo pia ukishafika mitaa hiyo utaona Tu Magari yanatengenezwa na mengine yamepaki tu
Vipi kuhusu kufunga zile honi mbili zenye mlio mkali. Nasikia nazo wakikosea wiring ni hatari.
 
Vipi kuhusu kufunga zile honi mbili zenye mlio mkali. Nasikia nazo wakikosea wiring ni hatari.
Hizo zote zinahusisha mambo ya wiring mara nyingi inakuwa sio ukoseaji wa kufunga Bali ni ubovu wa kifaa(fake) pamoja na wire...
Kwa mfano kama fog lights zinahitaji betri ya volt 12 huku gari yenyewe isiwe vitu vinavyotumia umeme mwingi kama speaker za booster,redio za Android na vitu vinginevyo
 
Habari if! Naomba mwenye kumjua fundi makini wa kuniwekea fog lights kwenye gari yangu Toyota axio kwa Dar au Arusha , mkinifahamisha pia gharama nitashukuru , fog lights za round ( HID bulbs)

@leirilwa umefikia wapi mkuu ?
 
Waulize jama wana office dom
 
Wewe unaongelea 'STANDBY LIGHTS'' sio Fog lights.

Fog light inatumika kutoa msaada wa kuangaza katika mazingira ya ukungu unaofanya dereva asione vema barabara akiwa njiani. Fog light huwa zinakaa kwenye front bumper chini kabisa ili zimulike sakafu ya barabara au lami.

Kwa upande mwingine, Standby au Parking lights hizi hutumika pale gari inapokuwa on. Inaweza kuwa mchana au usiku. But hizi taa hutumika kama ishara au alama kuwa kuna chombo cha moto kipo road.

Huwashwa kipindi cha mchana iwe jua au mvua na usiku zitawaka lazima sababu huwezi washa taa kubwa bila kuwasha standby lights kwanza.
 
Hizi ni Fog lights. Kwenye huu mfano nimetumia descovery 4 hiyo kama mfano.
 
Fog light
 
Hizi ndio Standby au Parking lights
 
Standby au Parking lights
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…