Natafuta future husband

Pole mkuu , kumbe hawa beibe walishakufanyia mbaya [emoji23] [emoji23]

Mimi huwa siitikiagi maombi yao maana siwaamini kabisa.
 
Kwa hiyo mimi nisiyeamini hizi fake news Qur'an & Bible nimeshaondolewa kwenye ushindani...?
 
Hilo jina mkuu halipo kwenye mitandao ya kijamii wala simu yake
Huwa tunafuatilia mkuu kama jina lake halisi ukalikosa kwenye mitandao ya kijamii hata simu yake naanza kupata wasiwasi


Teh
Huo wacwac ni wakwako
 
Huwaga sielewi mwanamke unakuja kutafuta mwanaume humu! ni ngumu sana kuelewa... nyie simnatongozwa? inamaana waliokufata hamna uliempenda hadi unakuja huku? mmmh

Bora mwanaume kwa sababu yeye anatafutta.
 
Njoo pm kwanza kabla ya kukupigia simu.
 
Habari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa interested call me 0621832347
Una matatizo gani mpaka utoe tangazo la kutafuta mchumba kwa umri Hui mdogo ulionao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…