Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Pole mkuu , kumbe hawa beibe walishakufanyia mbaya [emoji23] [emoji23]Mwanaume ndo huweka masharti kwa kuwa ndo muoaji
Wewe unaanza masharti unaoa au unaolewa
Anyway wewe anza kuchambua tu siku zikienda utaomba yeyote akuoe wakati utakuwa umechelewa kabisa
Sijui nitumbukie
Tatizo tu la wanawake wa humu huwa waongo tu kwa kuwa hata ukienda pm huwa hawajibu
Teh
Mimi huwa siitikiagi maombi yao maana siwaamini kabisa.