Picha kwanza mengine baadaeCjapata guys
Kila mahali unapocheka namm nacheka.[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] alafu si uliniambiaga kuna yule nduguyo anatafuta mke..chombo icho kimejitokeza mwambie awahi fursa hyo..Kila mahali unapocheka namm nacheka.
Pole...Cjapata guys
huyo sio muongo ameweka namba kabisa inaonekana yupo serious sema tu mim sijawaza kuoaMwanaume ndo huweka masharti kwa kuwa ndo muoaji
Wewe unaanza masharti unaoa au unaolewa
Anyway wewe anza kuchambua tu siku zikienda utaomba yeyote akuoe wakati utakuwa umechelewa kabisa
Sijui nitumbukie
Tatizo tu la wanawake wa humu huwa waongo tu kwa kuwa hata ukienda pm huwa hawajibu
Teh
[emoji1] [emoji1] ili umkimbie?Orodhesha madhaifu yako ili tuone kama tutayamudu!
Huyo picha ni yako kweli ?Cjapata guys
OgumileCjapata guys
Kwa mavazi hayo kwenye profile,utasota sana kumpata Huyo mchamungu unayemtaka. Hapo utapata limshkaji tu la ovyo ovyo , jarib kubadili uvaaji wako uvae kiheshimaHabari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa interested call me 0621832347
Umri ni tatzo kubwa sana kwanguHabari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa interested call me 0621832347
Yataka moyo23 yrs?? Ukifika 30's NITAFUTE