Natafuta future husband

Natafuta future husband

Mwanaume ndo huweka masharti kwa kuwa ndo muoaji

Wewe unaanza masharti unaoa au unaolewa

Anyway wewe anza kuchambua tu siku zikienda utaomba yeyote akuoe wakati utakuwa umechelewa kabisa

Sijui nitumbukie

Tatizo tu la wanawake wa humu huwa waongo tu kwa kuwa hata ukienda pm huwa hawajibu

Teh
huyo sio muongo ameweka namba kabisa inaonekana yupo serious sema tu mim sijawaza kuoa
 
Na waziri kasema above 20, marufuku shuleni
 
Wewe ni mhaya kwa hiyo mambo yako ya kihaya acha kbs !![emoji16]yaani vigezo utoe wewe au wewe ndo utakuwa unammiliki mwanaume ?
 
Habari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa interested call me 0621832347
Kwa mavazi hayo kwenye profile,utasota sana kumpata Huyo mchamungu unayemtaka. Hapo utapata limshkaji tu la ovyo ovyo , jarib kubadili uvaaji wako uvae kiheshima
 
Habari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa interested call me 0621832347
Umri ni tatzo kubwa sana kwangu
 
Back
Top Bottom