Natafuta garage nzuri kwa ajili ya IST New model

Natafuta garage nzuri kwa ajili ya IST New model

Hv vitu kwa kwel acha tu,yaan ngoma ikishushwa engine zaidi ya mara mbili ndani ya muda mfupi hadi hamu ya kula inakosa,afu unakuta hv vilaki laki vinatembea kizembe kizembe tu
 
Mimi ni mkazi wa DSM eneo la Kimara stopover. Namiliki gari ya aina ya IST New model.

Hivi karibuni gari ilipata shida upande wa hydrolic ya gearbox ilikuwa ina leakage na nozzle zilikuwa hazi spray mafuta vizuri kweny engine gari ikawa ina miss na kukosa nguvu.

Nimepeleka gari kwa fundi hivi sasa tunaenda week ya 3 bdo2 ana hangaika nayo, nahisi hata control box wameunguza wao nikapeleka kuchomelea but haikufanya kazi 100%, now nmenunua mpya kwa gharam kubwa imewekwa, shida ilianzia nilipowaambia wasafishe engine, mpk sasa engine ishafunguliwa mara 3, na kuna mda walisahau bolt juu kweny piston ya engine.

Nimechoshwa sasa, natafuta garage nzuri kwajili ya hizi gari zenye umeme mwingi, hiyo gerage iwe na usalama mkubwa ili niweze kuacha gari yangu nikiwa na amani.

Mafundi wengi wanajinyima riziki wao wenyewe.

Namba ya sim: 0783 242247 (ipo watsapp pia)
Very simple car to deal with, probably it had very problems ambazo they were to be easily rectified...you chose a wrong mechanic to work on you car..sasa what made you kufikia uamuzi wa kufungua engine? Je kukosa nguvu ilikua ni issue ya gearbox au engine?
 
Irekebishe kizushi then muuzie bwege mwingine akapambane nayo Gereji
 
Magari ya siku hizi nikosa la jinai fundi kutumia ufundi wake kuhisi mahali panapo kuwa na shida au kupigia ramli ungepeleka kwa kupima na mashine kujua ugonjwa unakubalije kutubiwa bila ya vipimo zama zile zimepitwa na wakati mkuu
 
Hizi IST new model si zina engine ya 2ZR-FE ambayo ni sawa na 1ZZ-FE tu sema inakuwa ni Dual VVT-i ambayo imefungiwa CVT gearbox.

Kilichomponza mwana ni kiherehere wala gari haina shida. Hivi gari ukiiosha engine na maji unapata faida gani? Yani unapopeleka gari Car wash ikasafishwa vizuri kwenye body na matairi inakuwa haitoshi mpaka watu wasafishe na engine ukamringishie nani engine ikiwa safi? Au nani anaona kwenye bonnet humo
second generation Ina engine kama nne

1NR -FE 1.3L
1NZ-FE 1.5L

2ZR 1.8L

Na kengine ka diesel 1NZ ftv
 
Safi kabisa wakati mwingine nasafiri toka Dar to Singida nawakuta wenye vi Ist,brevis na vidumu vyao vya maji nashikwa huruma basi tu naamua kuendelea na safari.
Ni kweli mkuu, gari hizi hazina complication, kwanza ukiwa main load ndio engine inapenda, utaona temperature gauge inashuka mpaka chini ya robo. Huko njiani naona tu magari mapya yamepaki ukuuliza eti overheat.
 
Ni kweli mkuu, gari hizi hazina complication, kwanza ukiwa main load ndio engine inapenda, utaona temperature gauge inashuka mpaka chini ya robo. Huko njiani naona tu magari mapya yamepaki ukuuliza eti overheat.
kabisa mkuu tena msimu huu wa mvua temp. inashuka ukiwa safari ndefu haya magari mapya thermostat zinachomolewa gari ukiwasha inalia kama nyuki ukiuliza unaambiwa zimefungwa kwa nchi za baridi sasa unajiuliza Mimi kicorona ni cha Afrika mbona hakisumbui basi unapita tu ila ni vigari vizuri highway kanakula 15km kwa litre na kanatembea hasa kwangu 7A-Fe ni the best engen kwa muda wote nimekinunua kigari toka 2009 na sijabomoa engen
 
Mungu akutie Nguvu,binafsi namiliki kikorona cha mwaka 98 sijawahi kubomoa chochote zaidi ya kubadili oil na vyuma vichokavyo chini ya gari na popote naenda hata mlima wa kuelea mbinguni inapandisha bila tabu mpaka wenye magari yaitwayo mapya wanashangaa namshukuru Mungu kwa neema hiyo.
unauza mkuu

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom