relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,336
- 5,217
nimeshandika mpaka urithi mkuu labda hii crown nafikilia kuiuza mwakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeshandika mpaka urithi mkuu labda hii crown nafikilia kuiuza mwakani
Hongera sana mkuu, hizi ni mashine haswaa.kabisa mkuu tena msimu huu wa mvua temp. inashuka ukiwa safari ndefu haya magari mapya thermostat zinachomolewa gari ukiwasha inalia kama nyuki ukiuliza unaambiwa zimefungwa kwa nchi za baridi sasa unajiuliza Mimi kicorona ni cha Afrika mbona hakisumbui basi unapita tu ila ni vigari vizuri highway kanakula 15km kwa litre na kanatembea hasa kwangu 7A-Fe ni the best engen kwa muda wote nimekinunua kigari toka 2009 na sijabomoa engen
inaikubal gar yakonimeshandika mpaka urithi mkuu labda hii crown nafikilia kuiuza mwakani