Natafuta garage nzuri kwa ajili ya IST New model

Hv vitu kwa kwel acha tu,yaan ngoma ikishushwa engine zaidi ya mara mbili ndani ya muda mfupi hadi hamu ya kula inakosa,afu unakuta hv vilaki laki vinatembea kizembe kizembe tu
 
Very simple car to deal with, probably it had very problems ambazo they were to be easily rectified...you chose a wrong mechanic to work on you car..sasa what made you kufikia uamuzi wa kufungua engine? Je kukosa nguvu ilikua ni issue ya gearbox au engine?
 
Irekebishe kizushi then muuzie bwege mwingine akapambane nayo Gereji
 
Magari ya siku hizi nikosa la jinai fundi kutumia ufundi wake kuhisi mahali panapo kuwa na shida au kupigia ramli ungepeleka kwa kupima na mashine kujua ugonjwa unakubalije kutubiwa bila ya vipimo zama zile zimepitwa na wakati mkuu
 
second generation Ina engine kama nne

1NR -FE 1.3L
1NZ-FE 1.5L

2ZR 1.8L

Na kengine ka diesel 1NZ ftv
 
Safi kabisa wakati mwingine nasafiri toka Dar to Singida nawakuta wenye vi Ist,brevis na vidumu vyao vya maji nashikwa huruma basi tu naamua kuendelea na safari.
Ni kweli mkuu, gari hizi hazina complication, kwanza ukiwa main load ndio engine inapenda, utaona temperature gauge inashuka mpaka chini ya robo. Huko njiani naona tu magari mapya yamepaki ukuuliza eti overheat.
 
Ni kweli mkuu, gari hizi hazina complication, kwanza ukiwa main load ndio engine inapenda, utaona temperature gauge inashuka mpaka chini ya robo. Huko njiani naona tu magari mapya yamepaki ukuuliza eti overheat.
kabisa mkuu tena msimu huu wa mvua temp. inashuka ukiwa safari ndefu haya magari mapya thermostat zinachomolewa gari ukiwasha inalia kama nyuki ukiuliza unaambiwa zimefungwa kwa nchi za baridi sasa unajiuliza Mimi kicorona ni cha Afrika mbona hakisumbui basi unapita tu ila ni vigari vizuri highway kanakula 15km kwa litre na kanatembea hasa kwangu 7A-Fe ni the best engen kwa muda wote nimekinunua kigari toka 2009 na sijabomoa engen
 
unauza mkuu

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…