Iko vizuri hizi gari ingawa wengi wanaziponda, mimi ninayo mwaka wa tano sasa sijabadili injini na nishasafiri nayo sana Tanga na Arusha iko vizuri tu cha muhimu badili tairi na rim ufunge size 14 na mafuta tumia yasiyochakachuliwa mimi huweka vituo vya total pekee, na kuhusu ulaji wa mafuta gari kama mpya inaenda hadi km ishirini na tatu kwa lita mojaNa mimi nataka kupata ufafanuzi wa gari ndogo iitwayo Duet ubora na udhaifu wake. Nataka kuinunua kwa sifa ya matumizi madogo ya mafuta, je ni kweli?
Kwani kubadili engine kwenye kila Funcargo ni lazima ndani ya miaka mitano!Iko vizuri hizi gari ingawa wengi wanaziponda, mimi ninayo mwaka wa tano sasa sijabadili injini na nishasafiri nayo sana Tanga na Arusha iko vizuri tu cha muhimu badili tairi na rim ufunge size 14 na mafuta tumia yasiyochakachuliwa mimi huweka vituo vya total pekee, na kuhusu ulaji wa mafuta gari kama mpya inaenda hadi km ishirini na tatu kwa lita moja
Sio lazimaKwani kubadili engine kwenye kila Funcargo ni lazima ndani ya miaka mitano!
Funcargo ninayo mwaka wa 5 4wd simjui fundi zaidi ya oil. Naitumia kwenye masafa marefu mpk sasa binafsi nimetembea km 90,000 tangu niagize.
Mkuu habari ya leo...nina funcargo no.C...0766165117 tuwasiliane
Kweli kabisa Mkuu ... Funcargo Ina body ngumu na oil consumption fresh kabisaFuncargo huwezi kuifananisha na porte au sienta kwa uimara wa body, hii body yake ni ngumu kama probox na mafuta inakula vizuri mno
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Funcargo, vits, passo hzo gari za Dada zetu na mama zetu hivi kweli mwanaume mzima unakwenda kwa wakwe na gari Kama hzo daaaa, tutafuten hela wakuu.
Naiitaga kibuti cha mtotoFuncargo shepu mbayaaaaaaaa
Fun Cargo ikianza kulegea body haitazamiki πππ kwangu mie naona gari nyanya sana hioFuncargo huwezi kuifananisha na porte au sienta kwa uimara wa body, hii body yake ni ngumu kama probox na mafuta inakula vizuri mno
Acha kuilingakisha SIENTA NA FUNCARGO , HUO UTUPOLO ENDELEA KUJIFARIJI TU KA GARI KANA SURA MBAYA HATA UKWENI HUWEZ KWENDA NAKOFuncargo ...the best car KATIKA gati hizi ndogo inaspace kubwa sana ndani .... Kuliko hata IST .......Bora funcargo kuliko port au sienta even vitz ...Mimi binafsi Nina Funcargo naipenda sana ... Pia itambuliwe kila mtu ana intrest yake hata ukimiliki Hammer inachangamto zake so kisikutishe kitu as long as spear zipo nyingi za Toyota tena Affordable ...usiogope kabisa
yan mwanaume kushuka kwenye funcargo ni sawa na kutembea uchiAcha kuilingakisha SIENTA NA FUNCARGO , HUO UTUPOLO ENDELEA KUJIFARIJI TU KA GARI KANA SURA MBAYA HATA UKWENI HUWEZ KWENDA NAKO
sent from HUAWEI
Bora utembee kwa miguu ijulikane hauna gariyan mwanaume kushuka kwenye funcargo ni sawa na kutembea uchi
au ununue mwamvuli tuBora utembee kwa miguu ijulikane hauna gari
sent from HUAWEI