Natafuta gari aina ya funcargo!!

Ndo hii nyuma inamlango kama kurukia na parachute juu ya ndege [emoji16]

Tuseme ukweli gari nzuri Sana ndani nafasi kubwa mafuta inanusa Tu

Lita 6 inacheza km 100 hapa

Gari ngumu Sana hata shamba unaendea

Kikubwa ufanye service Kwa wakati ili usike kucrank engine

Watoto wa mjini hawaipemdi kutokana body design yake ( binafsi naipenda asee nipeleke Kwa segito mbogamboga [emoji16] )

 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
KWANi kuna sehemu zimeandikwa zakike ama Toyota alishawahi sema hizi gari ni za kike ama kwenye menu book kuna mahali pameandika user wakike

Ama dadaako ndo kakufundisha hivyo [emoji16]
 
funcargo ina shepu mbaya, alafu haipo imara! kiukwel sikushauri ununue funcargo
  • kama unataka ya cc ndogo chukua vitz utafurah na roho yako, ni ngumu na zinavumilia shida zote
  • kama unataka gari yenye cc ndogo na ipo juu basi chukua Ractis
Ni kweli kabisa. Nasikia Vits hata ukikosa pesa ya mafuta kuna kibatani unabonyeza inasongesha mafuta full tank.
 
Yah huenda ikawa kweli ina shepu mbaya, si unajua tena mkuu uzuri wa kitu uko machoni kwa mtazamaji......
Vitz mie hainivutii kabisa ndio maana hata sijaitaja kabisa.
Racti..... Naipenda ila tatizo bei mkuu.
Asante sana kwa ushauri mkuu
Chukua vits babu ni gari nzuri ila kuna model na model. Kuna vits ile inaitwa RS kamekaa utamu sana.
 
Funcargo huwezi kuifananisha na porte au sienta kwa uimara wa body, hii body yake ni ngumu kama probox na mafuta inakula vizuri mno
Sijawahi miliki gari,hii gari naipenda tatizo tu iko chini sana kwa sisi wa vijijini
 
good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…