Kuna mwana ana carina freeh kabisaNINA 4,000,000
NIPE MOJAWAPO π
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
Hili jina lako likitamkwa na MSUKUMA Lina vutia..Kuna mwana ana carina freeh kabisa
Kwanini na wapi ipo hiyo? Kwani zina shida gani?Xtrail hata kwa mil 1 unapata
0659756647NINA 4,000,000
NIPE MOJAWAPO π
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
Aina gani hiyoSasa hvbukitaka gari nzuri atleast uwe na 7m unapata gari nzuri kidgo ambayo hutosumbuana na fundi
Weka picha hapa0659756647
Karibu
Usiguse Nissan extrail kwa bei hiyo utalaani hadi babu zako wafufuke bureNINA 4,000,000
NIPE MOJAWAPO π
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
πUsiguse Nissan extrail kwa bei hiyo utalaani hadi babu zako wafufuke bure
Sababu 3 za kubwela mpaka mababu ni zipi?Usiguse Nissan extrail kwa bei hiyo utalaani hadi babu zako wafufuke bure
Na wakirudi wanakuta umeharibi mali ya urithiUsiguse Nissan extrail kwa bei hiyo utalaani hadi babu zako wafufuke bure