Natafuta gari ya ml. 4

Natafuta gari ya ml. 4

Unakuta mtu anaishi kwa shemeji yake yaani ni KKB (Kula kulala bureee)
Alaf anadharau gari aina ya passo WAKATI hajawai hata kumiliki milioni moja ya pamoja.

Sikuzungumzii wewe namzungumzia baadhi ya watanzania wenzangu wenye hiyo kasumba.
Uko sahihi Mkuu.....mimi baada ya kuwa na uwezo wa kununua gari niliacha dharau.

Ukiwa huna uwezo ndio unadharau.....paso ni 10M kuipata.

Sasa unadharau vipi kitu chenye Thamani ya 10M?
 
20240715_143733.jpg

7 mil
 
Uko sahihi Mkuu.....mimi baada ya kuwa na uwezo wa kununua gari niliacha dharau.

Ukiwa huna uwezo ndio unadharau.....paso ni 10M kuipata.

Sasa unadharau vipi kitu chenye Thamani ya 10M?
Ndio hapo Sasa Mara utasikia KA BABY WALKER 😊😅

Mara kapasso yaan sijajuaga kwa kweli unakuaga ni wivu au chuki Inashangaza Sana kwa kweli unakuta mtu hata kula yake inamsumbua alaf anashupaza shingo kudharau passo WAKATI ni HOHE HAHE wa KUTUPA
 
Ukiwa tayari nicheck gari ipo mark x nyeusi imesimama ml7 njoo nayo uchukue
 
Xtrail hata kwa mil 1 unapata
Wewe umekariri, kwani unaongelea x-tray za mwaka 2000 zilizokuwa zinasumbua mfumo wa umeme; kuanzia 2nd generation na kuendelea kwa wanaojua magari x-tray ni nzuri na imara sana (heavy duty); Huwezi kulinganisha uimara wake na Rav 4. Unaweza kuifanyia x-tray service kubwa mara moja kwa mwaka; Peleka rav 4 shambani; kila mwezi upo garage...... Endelea kukariri
 
Back
Top Bottom