Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ukiuziwa hiyo gari chini ya 8m ni mbuvu kupitilizaSababu 3 za kubwela mpaka mababu ni zipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiuziwa hiyo gari chini ya 8m ni mbuvu kupitilizaSababu 3 za kubwela mpaka mababu ni zipi?
Ninayo brevis, kama upo siriaz njoo pmNINA 4,000,000
NIPE MOJAWAPO 👇
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
Passo milion 5?Hili jina lako likitamkwa na MSUKUMA Lina vutia..
Back to the topic
Jamaa aongeze 1m iwe 5m nimwachie passo namba D
Shikamoo mzee wangu..Passo milion 5?
Kwa kipi ilicho nacho
Andika namba yako wewe nikuchekiAndika noyako ya Whatsapp
Passo sio gariShikamoo mzee wangu..
Passo yako wewe unaiuza Bei gani nije niichukue niwape wakata nyasi (majani) wangu waitumie kwenye mizunguko yao ya hapa na pale..
Yueye kasema anataka ya 4m maana yake kajipangaSasa hvbukitaka gari nzuri atleast uwe na 7m unapata gari nzuri kidgo ambayo hutosumbuana na fundi
Hela ya mafuta unayo sh ngapi?🤔NINA 4,000,000
NIPE MOJAWAPO 👇
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
Ingia Instagram mtafute Sossy_magari utapata gari kwa bei nzuri. Binafsi sijawahi kununua gari kwake hivyo umakini ni juu yako. Mimi natafuta gari ndogo lakini iwe manual.NINA 4,000,000
NIPE MOJAWAPO 👇
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
Vits 2011 unapata hata ractis ila hizo namba DN au DP kwa mbaaliAina gani hiyo