Natafuta girl friend aliyezaa tayari ambaye hatanipa stress.

Natafuta girl friend aliyezaa tayari ambaye hatanipa stress.

Huyu hata akichamba sidhani kama makalio yanatakata kabisa! Lazima chembe chembe zibakie tu...!

Ha ha ha! Mkuu umesema ukweli!
Nafurahia kuumbwa mwanaume aisee! Maana haya makalio ya wenzetu kwetu sis ni burudani kubwa!
 
Mkuu angalia kigezo cha waliotendwa kinaweza kukutokea puani, manaake wengine saiv wanawaza kulipa kisasi
 
duuuh bahati hii na sikukuu ndo hizo
raha ya sikukuu uwe na mpenzi bwana! ila mwaka ukianza tunaanza tena upya ..ngoja nitafakari
 
mmhhh labda uwe na mbio kama bolt, kwanza hapo ayo manyama yatakuwa yanazuia zuia kuitafuta hapo mpk darubini, mtafutie lingine bwana.

ha ha ha ha ha.. jamani darubini tena hiyo yako itakuwa haina macho!!!!!!!
 
Dah Yupo mmoja ana 37 ila ni mweusi na hana mtoto,alishatendwa kwenye mapenzi sijui vigezo vitakufaa,maana weupe na mtoto hana,ana degree.

Aisee ni-inbox details zake. (contacts-awe tayari kupima ukimwi)
 
Dah Yupo mmoja ana 37 ila ni mweusi na hana mtoto,alishatendwa kwenye mapenzi sijui vigezo vitakufaa,maana weupe na mtoto hana,ana degree.
vigezo na masharti kuzingatiwa
 
ha ha ha ha ha.. jamani darubini tena hiyo yako itakuwa haina macho!!!!!!!

teh teh teh, zinasumbuaga hizo miss chaga, ndo maana ayo watu hujipenda kujiunga kabang, huku mbele ni balaa, unajua kitu tyr kumbe minyama imebana, bora lile la haja.
 
teh teh teh, zinasumbuaga hizo miss chaga, ndo maana ayo watu hujipenda kujiunga kabang, huku mbele ni balaa, unajua kitu tyr kumbe minyama imebana, bora lile la haja.

uwiii basi inatosha bwana ... kabaaang si nzuri lakini...
 
Back
Top Bottom