Natafuta girlfriend mnene

Natafuta girlfriend mnene

fareed uziel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
657
Reaction score
710
WanaJF,

Nakuja kwenu kutafuta kipenzi cha roho yangu.Natafuta msichana awe girlfriend mwenye sifa hizi:
  • Awe mnene
  • Awe anavutia
  • Awe rangi yoyote.
  • Asizidi 35.
  • Asiwe na magonjwa yaambukiazo (clean)
Sifa zangu
  • Nina mwili wa wastani
  • Mweusi kawaida
  • Nina kazi yangu
  • Najali, napenda na huruma.
  • Karibu PM
 
Umeona wenzako wakiwatupilia mbali kisa wanagandanana sas umekuja na gia ya kuwapenda,kwendraaaaaaaaaa super cheater!!!
 
Umeona wenzako wakiwatupilia mbali kisa wanagandanana sas umekuja na gia ya kuwapenda,kwendraaaaaaaaaa super cheater!!!
Trust me i mean it sipo kwa ajili ya uwindaji,karibu pm laazizi wala usiogope kipenzi
 
Back
Top Bottom