fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 657
- 710
WanaJF,
Nakuja kwenu kutafuta kipenzi cha roho yangu.Natafuta msichana awe girlfriend mwenye sifa hizi:
Nakuja kwenu kutafuta kipenzi cha roho yangu.Natafuta msichana awe girlfriend mwenye sifa hizi:
- Awe mnene
- Awe anavutia
- Awe rangi yoyote.
- Asizidi 35.
- Asiwe na magonjwa yaambukiazo (clean)
- Nina mwili wa wastani
- Mweusi kawaida
- Nina kazi yangu
- Najali, napenda na huruma.
- Karibu PM