Natafuta girlfriend wa kupanga nae maisha

Natafuta girlfriend wa kupanga nae maisha

MoroGent

Member
Joined
Jan 10, 2018
Posts
84
Reaction score
343
Habari wanajukwaa, natumai wote ni wazima,

Naeomba niende kwene point direct, ni kwa muda sasa nimekaa na kutafakari kuwa siwezi kuendelea kuwa single kutoka mwaka huu,nimefanya juhudi za kutafuta msichana wa kuwa nae lakin kila ninae mface anadai ana mtu na mwinginge hayupo tayari,

Hivyo nimekuja jukwaani hapa kutafuta mdada atakae kuwa serious anatafuta mwanaume anaejielewa ili kupanga maisha, mimi ni kati ya wanaoamini JF ni sehemu ambapo watu wengi ni great mind na wanajielewa, hivyo naamini naeza kupata mtu sahihi tukapendana na akapata heshima anayoihitaji na kutimiza ndoto ya mwanaume ambae amekuwa akimuomba Mungu siku zote.

Nina miaka 27, naishi morotown, amabaye yupo serius karibu PM.
Naomba kuwasilisha.
 
Unataka niwe serious vp mkuu, Is there anything should I do to show that I am much serious that that? Niambie nifanyeje ili uone nipo serious
Tafute mke sio gf

Gf huna haki miliki nae yeyote.
 
Tafuta pesa ya kuhonga
mkuu, hao magelifurendi watapanga foleni kuomba usajili kwako[emoji23][emoji23]
 
Habari wananzengo,

Hii ni mara ya tatu nafikiri kuandika uzi kutafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano, nafikiri toka 2018.

Changamoto niliyoipata humu JF, ni kwamba KE wengi hawakunifuata PM except I wawili, alinifuata then akapotea with no more reply, mwingine alinipm ila hakuwa na nia ya kuwa na mimi. Infact alichat na mimi kwa conversations ya kawaida tu hakuwa na interest ya kuwa na mahusiano nafikiri ana mtu tayari, alikuwa ananiincourage tu.

KE wanaotoa nyuzi kutafuta wachumba ME, nikiwaPM huwa hawajibu kabsa au anareply with no seriousness anapita.

Leo narudi, kutafuta tena aliye tayari. Kwa sasa nina miaka 30, nimehamia Iringa kikazi tu from Dodoma nilikokuwa, sina mtoto, nipo tayari kuwa na relationship moja meaningful na serious kwa ajili ya kujenga familia maisha generally.

Changamoto ya KE ninaokutana nao kitaa wanakuwa too much dependent, mizinga na hawapo serious kuwa na ME mmoja for the life. Wengine hunikataa kusema ukweli koz I can't invest somewhere I am not sure with endless love and willingness.

Nafikiri hili nitakuwa bango la mwisho, baada ya hapo I will wait for God, maybe there is a reason behind why I don't get one.

Nawasilisha wakuu.

1F17DE32-4C67-40B5-95E5-8925F4D558CB.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mara chache sana tena sana kupata serious relation hapa jf.
Yaani chance ya kupata mwenzi hapa jf ni moja kwa mia, ni hivi watu mia watatafuta mchumba hapa ila mmoja ndie atafanikiwa, na kufanikiwa kwake si moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom