Natafuta girlfriend wa kupanga nae maisha

Natafuta girlfriend wa kupanga nae maisha

Hao wapiga mizinga wa mtaani hawafiki humu JF? Walioko humu ndani ndio hao hao unaowakimbia huko mtaani.
 
Sijawahi na sitowahi kuwa na ndoto za kupata mwanamke huku JF! Sijui kwanini Ila najikuta naona kama hakutakuwa na mapenzi ya kweli kati yetu na nnajikuta nawapenda galz wote wa huku jf na kuwachukulia kama washikaji tu!

Mkianza mahusiano ni rahisi sana kuvunjiana heshima.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe unataka free pumbu baba! Jaribu na uchawi wa kidhungu! Unafeli wapi baba! Kuna mafundi humu soma comments zao fuata ushauri wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, hatari sana. Nahis nilikosea sana mashulen huko, kutoka bila mchumba,
Nataman ata nirudi SUA nikaanze tena first year[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ya humu yakichanuaga huwa kuna mbwembwe sana, full kuanzishiana nyuzi kila wakati. ila yakioza watu wanapoteana hadi kubadilisha id, wanakuwa wapolee kama kama mtoto aliyefumwa analamba sukari. Endelea kujaribu bahati mkuu.
Sisi wengine wacha tuendelee kuwa watoa hongera na pole.
 
Rudi kijijini kwenu katafute huko au kama wew ni mwenzangu na mie hatuna vijiji jaribu kila ukipata rikizo ya kikazi unaenda kwa ndugu zako (shangazi, mjomba, Dada, baba mdogo) hakika kuna siku utakutana na binti wa maisha yako haswa wale wanaoishi mazingira ya center zinazokuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauko serious mkuu.mke unasaka humu.unataka kuliwa hela zako tu.
 
Badili mbinu. Acha kuweka bango, penda kushirikiana na jamii yetu kwa kuchangia michango kwenye majukwaa mbali mbali. Kuna muda kuwa serious kuna muda mzaha kidogo.

Naamini utamuona hata mmoja utae vutiwa nae, jisogeze kwake taratibu.

Ukileta bango mara nyingi hata mimi naanza kujenga shaka kwa muhusika ana tatizo/kasoro gani?
 
Nyuzi nyingine bhana, hapa asilimia kubwa tunahitaji sex partners tu na siyo mambo ya maisha, wapi kina demiss, dabby, sijui kina nani yan mapenzi humu yalishatawala sana ila sikuhizi holaaaa!

Tafuta sex partner, ukiwapata pitaaaaa weeee chagua humo humo mmoja unaehisi anaelekea wowaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom