Habari wananzengo,
Hii ni mara ya 3 nafikiri kuandika uzi kutafuta mwanamke wa kuwa nae kwene mahusiano, nafikiri toka 2018.
Changamoto nikipata humu jf, ni kwamba KE wengi hawakunifuata PM except I wawili, alinifuata then akapotea with no more reply, mwingine alinipm ila hakuwa na nia ya kuwa na mm, in fact alichat na mm kwa conversations ya kawaida tu hakuwa na interest ya kuwa na mahusiano nafikiri ana mtu tayari, alikuwa naniincourage tu. KE wanaotoa nyuzi kutafuta wachumba ME, nikiwapm huwa hawajibu kabsa au anarepply with no seriousness anapita.
Leo narudi, kutafuta tena alipe tayari, kwa sasa nina miaka 30, nimehamia Iringa kikazi tu from Dodoma nilikokuwa, sina mtoto, nipo tayari kuwa na relationship moja meaningful na serious kwa ajili ya kujenga familia maisha generally.
Changamoto ya KE ninaokutana nao kitaa wanakuwa too much dependent, mizinga na hawapo serious kuwa na ME mmoja for the life, wengine hunikataa kusema ukweli koz I can't invest somewhere I am not sure with endless love and willingness.
Nafikiri hili nitakuwa bango la mwisho, baada ya hapo I will wait for God, maybe there is a reason behind why I don't get one.
Nawasilisha wakuu.
View attachment 1401120
Sent using
Jamii Forums mobile app