Natafuta girlfriend wa kupanga nae maisha

Natafuta girlfriend wa kupanga nae maisha

Depal, sikatai Vikings, ila viwe reasonable, mfano, Luna KE anaomba ela ya makeup 30 every week, kodi ya nyumba 150 every month, kuvaa atumie 100 per month, acha kula na mambo mengine mdogo. Asa huyo mke au chuma ulete, ukiwa nae usitegemee kumake in life. Na ukikosa pesa sio wako
Mkuu vigezo vyako viko too general ndio maana hupati wa kuendana nae.
Being too much dependent ndio unamaanishaje? Au nyie ndio wale ukiombwa elfu 30 Mara 3 unaona dada anapinga vizinga!!
Ukitaka wasioomba hela watafute huko Iringa vijijini utawapata, wa mjini wote wanataka kuhudumiwa [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Best advice mkuu. Ndo option nilofikiria mwez ujao nina likizo ya siku 15. Nimezaliwa kijijin, mujini nmevamia tu
Rudi kijijini kwenu katafute huko au kama wew ni mwenzangu na mie hatuna vijiji jaribu kila ukipata rikizo ya kikazi unaenda kwa ndugu zako (shangazi, mjomba, Dada, baba mdogo) hakika kuna siku utakutana na binti wa maisha yako haswa wale wanaoishi mazingira ya center zinazokuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vigezo vyako viko too general ndio maana hupati wa kuendana nae.
Being too much dependent ndio unamaanishaje? Au nyie ndio wale ukiombwa elfu 30 Mara 3 unaona dada anapinga vizinga!!
Ukitaka wasioomba hela watafute huko Iringa vijijini utawapata, wa mjini wote wanataka kuhudumiwa 😀
Hiyo 30 unaomba mara tatu kwa utaratibu upi kwa mtu ambaye hata mama yako mzazi hamtambui.
Hapo kuna tofauti na kujiuza kweli ?
 
Dah...Kama mimi mwaka huu tu nimetuma pms 754...sijajibiwa hata moja...dah[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Ushauri mzuri sana huu. Nitauzingatia kwa kwa kweli
Umeandika kwa hisia..... Ila usikate tamaa, haya mambo bana sometime yanakujaga tu mda ambao huna hayo mawazo.
Usiwe serious sana kutafuta mchumba, zoeana na girls tofaut tofauti then kati ya hao am sure utampata tu mmoja ambaye utamfeel then ndo uanzishe mahusiano rasmi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!.. atafutaye hachoki na akichoka ujue ameshapata.... endelea kupambana mkuu.
 
Mnatafuta tafuta weeeeee,baadae mnakuja kulalamika kuwa mmepewa na kajuliana bin kangoma,ghafla mnakuja tena na nyuzi mnataka kujiua,muwe mnajiua kweli basi si mnaishia kuandika tu,mnawatia kiwewe wauza majeneza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi sijui nakwama wapi mbona situmiwi hizi nauli [emoji134][emoji134]
Mwongo, nilikutumia laki moja ili utoke mikocheni kwa Batengazi hadi kwetu buza na hukutokea
 
Back
Top Bottom