Natafuta girlfriend wa kupanga nae maisha

Natafuta girlfriend wa kupanga nae maisha

Pesa unayo unafeli wapi?
Kama mdomo mzito wape watu dili wakusaidie kupiga vocal uletewe mke mpaka ndani wewe uwe Kama Dj Khalid wewe unatulia tu.
 
Nenda jf kule ndo forum ya vijana, na kuna jukwaa la wachumba kule watu limewasaidia saana na wengine hadi hurudi kutoa ushuhuda jinsi walivyopatana kupitia fb na wanamaisha ya upendo. Huku wengi ni wazee/wako aged na ni wababaishaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole, nadhani tatizo ni ww mwnyw hauko serious na unachohitaji.
 
Hili tako ndo litakuwa linaniponza.
Wanaona mwanamke mwenye tako kichwani hamna akili.
Yaani wanaume bana ¡!!!! Wanataka walifunue walione tu.
Nami nimekataa hilo acha nife na utamu wangu.
Bora yenu wenye maflat jamaniii kwani wanahisi eti mna akili na wife materials [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na tako lote lile umekosa baby dady tokea 2017?!!
Sasa sisi flat screen itakuwaje Shunie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda jf kule ndo forum ya vijana, na kuna jukwaa la wachumba kule watu limewasaidia saana na wengine hadi hurudi kutoa ushuhuda jinsi walivyopatana kupitia fb na wanamaisha ya upendo. Huku wengi ni wazee/wako aged na ni wababaishaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aende wapi? Kwani hapa ni wapi?
 
Habari wanajukwaa, natumai wote ni wazima,
Naeomba niende kwene point direct, ni kwa muda sasa nimekaa na kutafakari kuwa siwezi kuendelea kuwa single kutoka mwaka huu,nimefanya juhudi za kutafuta msichana wa kuwa nae lakin kila ninae mface anadai ana mtu na mwinginge hayupo tayari,
Hivyo nimekuja jukwaani hapa kutafuta mdada atakae kuwa serious anatafuta mwanaume anaejielewa ili kupanga maisha, mm ni kati ya wanaoamini JF ni sehemu ambapo watu wengi ni great mind na wanajielewa, hivyo naamini naeza kupata mtu sahihi tukapendana na akapata heshima anayoihitaji na kutimiza ndoto ya mwanaume ambae amekuwa akimuomba Mungu siku zote.
Nina miaka 27, naishi morotown, amabaye yupo serius karibu PM.
Naomba kuwasilisha.

Kwa huu mwandiko wako tu nasema wazi hujielewi, wala hujiamini kama unavyojaribu kujinasibisha hapa.

Kwa kifupi tu ili kukusaidia, PANGA MAISHA YAKO KWANZA NDIPO UJE KUTAFUTA MKE WA NDOA.

Kwa wadada, imewapasa kuwa makini na wanaume ma-opportunists kama huyu. Huyu ni mla leo, ya kesho yatajijua menyewe!! Mtaishia kupanga maisha wakati anaendelea kujiburudisha kwa utamu wa bure tu.

Hapo bado hayuko tayari kuitwa mume, siku akiwa tayari hatotafuta wa kumsaidia kupanga maisha, bali atakayemsaidia kuendeleza kile alichokoanza tayari.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Na tako lote lile umekosa baby dady tokea 2017?!!
Sasa sisi flat screen itakuwaje Shunie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu shangaaa
 
Back
Top Bottom