Natafuta girlfriend wa miaka 19 - 21

Natafuta girlfriend wa miaka 19 - 21

Habarini wapendwa,

Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta girlfriend (19-21) awe mwembamba akiwa na English body itakua sifa ya nyongeza urefu wangu ni 120cm sikumbuki vizuri, asiwe mfupi rangi yake sijali kikubwa awe na mvuto hasa akitabasamu.

Awe muongeaji ila sio mbea, awe anasuka ila sio kuweka wigi pia awe na upendo wa dhati na kuheshimu, sijali dini wala level ya elimu, mkoa wowote
HUMPATI
 
Unatafuta matatizo baada ya muda utaandika uzi wa kuomba mchango ukatibiwe moyo mpana
 
Back
Top Bottom