Kumekuwa na wimbi la watu kununua hizi condoles. What's the reason behind?Msiuze akaunti zenu kama hamtaki ban ya milele Play.
Google wanapiga ban sana developers kwa sababu nyingi zengine nzuri zengine hazieleweki kabisa unaweza ukala ban ya maisha bila kufanya chochote, ban ya developer ni ya kudumu na wanafanya kila namna kugundua kuwa ni wewe hata ukibadili email, payment etc bado wanaweza kukulink kuwa ni wewe na kufunga account yoyote unayotumia.Kumekuwa na wimbi la watu kununua hizi condoles. What's the reason behind?
Duuh, kuna jamaa alinipa offa ya $1000 nikasema huyu tapeli, why alipie $1000 kwa kitu cha $25?Google wanapiga ban sana developers kwa sababu nyingi zengine nzuri zengine hazieleweki kabisa unaweza ukala ban ya maisha bila kufanya chochote, ban ya developer ni ya kudumu na wanafanya kila namna kugundua kuwa ni wewe hata ukibadili email, payment etc bado wanaweza kukulink kuwa ni wewe na kufunga account yoyote unayotumia.
Pamoja na hayo wengi wanaopigwa ban ni kwa kukiuka taratibu za Play, so wanatafuta account mpya ambazo ni "clean" ili waweze kufanya madudu yao tena, tatizo sasa ukiuza account ikaenda kupigwa ban na wewe unaweza kula ban ya maisha account zinaenda hadi $2000 nasikia.
unayo account?2M unavyo?
2017unayo account?
ya mwaka gani
ina active app? ngapi2017
kama upo serious mteja yupo...ananunua ndani ya masaa tu.ina active app? ngapi
hapana...suala ni policy zimebadilika kwwhiyo account zilizosafe ni zila zote zilizotengenezwa before Nov 2023Ninayo ya miaka 8, mnazitakia nini? Ni sababu ya hizo page zinazokuwa reject na hiyo report?
Unayo na ina apps zilizopo active?..Ninayo ya miaka 8, mnazitakia nini? Ni sababu ya hizo page zinazokuwa reject na hiyo report?
sasa boss unapewa hela halafu unasema mtu tapeli ...si biashara boss wew ulitaka akupe ngapi..?Duuh, kuna jamaa alinipa offa ya $1000 nikasema huyu tapeli, why alipie $1000 kwa kitu cha $25?