Natafuta Google Developer Console

Natafuta Google Developer Console

CodeX

Member
Joined
Sep 2, 2018
Posts
27
Reaction score
200
Habari wakuu.
Nahitaji mtu mwenye Google Developer Console niweze kununua.
Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog.
Napatikana 0692 76 33 06
 
Ukiweka $1500 mezani unaniambia tukutane wapi kama upo hapa jijini tukabidhiane uweke details zako na kuipiga 2 step verification. Ninazo za tangu mwaka 2018 zenye active apps.
 
Kumekuwa na wimbi la watu kununua hizi condoles. What's the reason behind?
Google wanapiga ban sana developers kwa sababu nyingi zengine nzuri zengine hazieleweki kabisa unaweza ukala ban ya maisha bila kufanya chochote, ban ya developer ni ya kudumu na wanafanya kila namna kugundua kuwa ni wewe hata ukibadili email, payment etc bado wanaweza kukulink kuwa ni wewe na kufunga account yoyote unayotumia.

Pamoja na hayo wengi wanaopigwa ban ni kwa kukiuka taratibu za Play, so wanatafuta account mpya ambazo ni "clean" ili waweze kufanya madudu yao tena, tatizo sasa ukiuza account ikaenda kupigwa ban na wewe unaweza kula ban ya maisha account zinaenda hadi $2000 nasikia.
 
Duuh, kuna jamaa alinipa offa ya $1000 nikasema huyu tapeli, why alipie $1000 kwa kitu cha $25?
 
ina active app? ngapi
kama upo serious mteja yupo...ananunua ndani ya masaa tu.
kikubwa ijulikane ina app ngapi ambazo zipo live playstore, app ngapi ambazo zimekuwa removed, app ngapi rejected , app ngapo suspended.

na kama kuna active app iliyopo playstore je hiyo active app ina source codes zake na keystore yake?
unaweza kuja pm
 
Ninayo ya miaka 8, mnazitakia nini? Ni sababu ya hizo page zinazokuwa reject na hiyo report?
 
Ninayo ya miaka 8, mnazitakia nini? Ni sababu ya hizo page zinazokuwa reject na hiyo report?
hapana...suala ni policy zimebadilika kwwhiyo account zilizosafe ni zila zote zilizotengenezwa before Nov 2023
 
Ninayo ya miaka 8, mnazitakia nini? Ni sababu ya hizo page zinazokuwa reject na hiyo report?
Unayo na ina apps zilizopo active?..
kama huna matumizi nayo...mm nahitaji kuna watu nafanya nao project za android sasa tunahitaji console...
 
Duuh, kuna jamaa alinipa offa ya $1000 nikasema huyu tapeli, why alipie $1000 kwa kitu cha $25?
sasa boss unapewa hela halafu unasema mtu tapeli ...si biashara boss wew ulitaka akupe ngapi..?
policy za google Zimebadilika...kwa maana hiyo zina athiri kutengeneza account mpya...

walio na za zamani wanapeta tu kwa sasa

jamani mwenye console anicheki tuyajenge 0677 818283
 
Back
Top Bottom