Papaa pedeshee
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 274
- 394
Ndio wapo kariakoo na baadhi wanawakilisha viwanda vyao vilivyoko mkuranga wanapoundia guta na bodaboda. Kama sikosei na kibaha huwa kipo ila kupata KWa Moja nadhani ni kipengele kidogo.Hivi Kuna wakala mkubwa wa sinoray
It is not. Siyo typo hiyo. Ni kosa linalofanywa na members wengi hapa.Mkuu kichwa chako kizito huoni kama nityping errow tu hizo
Da
Dah! Nimepokea masahihisho mkuu,ahsante.kuu namjibu macho mdaliko sio ww..macho mdaliko anajifanya anakijua kiswahili sana hajui kuwa mtu mwingine anachat lakini Yuko bize nashughuli zake so makosa makosa ya typingi nikawaida
Wewe huko wapi bosi. Sidhani kama kuna cc 300 labda useme 200cc.
Sawa ww unajua kiswahili icho uko makini nalugha kuliko kutafuta pesa au ndo mpo kwenye ajira za watu au serikali mnapata muda mzuri wakuingia jf kukosoa watu badala mfanye kazi za mabosi wenuIt is not. Siyo typo hiyo. Ni kosa linalofanywa na members wengi hapa.
Jaribu kutokuwa mpumbavu. Kutafuta fedha siyo idhini ya kutojua kuandika. Mwenzako kaelewa nilichomkosoa ila wewe unajifanya mjuaji. ''icho'' = hicho. Hata wewe ni walewale.Sawa ww unajua kiswahili icho uko makini nalugha kuliko kutafuta pesa au ndo mpo kwenye ajira za watu au serikali mnapata muda mzuri wakuingia jf kukosoa watu badala mfanye kazi za mabosi wenu
Ahahahahahah!Sawa ww unajua kiswahili icho uko makini nalugha kuliko kutafuta pesa au ndo mpo kwenye ajira za watu au serikali mnapata muda mzuri wakuingia jf kukosoa watu badala mfanye kazi za mabosi wenu
Kujua lugha bila Hela ni upumbavu tuJaribu kutokuwa mpumbavu. Kutafuta fedha siyo idhini ya kutojua kuandika. Mwenzako kaelewa nilichomkosoa ila wewe unajifanya mjuaji. ''icho'' = hicho. Hata wewe ni walewale.
Maana yake ni Mtoa mada ni Tapeli anawinda WA kumtapeli humu jukwaaniKondoo anawindwa na fisi.
Anakazi yakukosoa watu lugha ukute hapo hata pesa ya kuanzisha biashara ndogo ya mtaji wa 30m Hana kazi kujifanya mjuaji wa lughaAhahahahahah!
Kuwa na fedha siyo kutokuwa mpumbavu. Kuna majambazi, mafisadi na malaya wengi tu wenye fedha. Na pia kuna wapumbavu wengi tu wenye fedha. Inaonekana ulizaliwa kwenye ukoo wa kimasikini sana ndiyo maana una akili finyu juu ya fedha kama hizi.Kujua lugha bila Hela ni upumbavu tu
Ndugu zangu, msigombane Kwa mambo madogo ya kibinadamu,kubwa na mhimu ni kujenga mtandao wenye manufaa kupitia majukwaa ya kimitandao ikiwemo JF hapa tulipo na si malumbano yasiyo na tija, ni ushauri natoa tu.Kujua lugha bila Hela ni upumbavu tu
Wewe ulizaliwa kwenye ufukara sana ndiyo maana unaabudu fedha. Wenzako tuko hatua moja mbele..Anakazi yakukosoa watu lugha ukute hapo hata pesa ya kuanzisha biashara ndogo ya mtaji wa 30m Hana kazi kujifanya mjuaji wa lugha
Mkimaliza kutupiana maneno, nadhani tutarudi kwenye mada husika,ngoja nijiweke pembeni maana binafsi si muumini wa mambo hayo.Wewe ulizaliwa kwenye ufukara sana ndiyo maana unaabudu fedha. Wenzako tuko hatua moja mbele..
Acha ujinga labda ww ndio umezaliwa kwenye ufukara...mkuu pesa tunashika kuanzia primaryWewe ulizaliwa kwenye ufukara sana ndiyo maana unaabudu fedha. Wenzako tuko hatua moja mbele..
Mhitaji kauliza akiwa Dodoma na akihitaji kununua au kujua bei ya dar ikoje ili aone kama kuna unafuu, ndio maana nikamwambia apime pia na gharama za kusafirishiwa hadi kumfikia kama haitamgharimu,pengine kununua huko endapo anaweza kuokoa pesa.rejea andiko langu la ushauri juu.Mitandaoni kuna mengi sana.
Hivi kwa akili ya kawaida, mtu anahitaji kununua guta, badala aende madukani, anakuja JF kuuliza.
Hapo hapo anakuja mwingine kudai kwamba ni mtaalamu wa maguta na anaweza kumuulizia bei.
Ngoja niishie hapa!
Kuna kama unaharibu uzi wa mwenzio ,Wewe ulizaliwa kwenye ufukara sana ndiyo maana unaabudu fedha. Wenzako tuko hatua moja mbele..
Kuna kama unaharibu uzi wa mwenzio