Kuongeza Nyash...Anataka kujenga shape au kujenga network ?
Bro wetu atakuwa ameshindwa majukumu!Anataka kujenga shape au kujenga network ?
We sema tu unacho tafuta ...ni wanaume😁Mwenye anajua jamani anaweza nisaidia namba ya simu au kunielekeza
Ipo wapi namba ya simu hujawekanamba ya simu
BologinaWe sema tu unacho tafuta ...ni wanaume😁
Bologina bologina inatafutwa mpaka GymBro wetu atakuwa ameshindwa majukumu!
Kwann waswahili tunakuaga na mawazo hasiBologina bologina inatafutwa mpaka Gym
Kikubwa zaidi ya afya, hakuna, kuwa na Afya njema jambo muhimu zaidi!!Anataka kujenga shape au kujenga network ?
shape 🤣Anataka kujenga shape au kujenga network ?
nina wanaume tayari 🌚,gym nyingi zina wanaume tu mm natak mchanganyiko ili nikutane na wanawake tufanye mazoezi kwa pamojaWe sema tu unacho tafuta ...ni wanaume😁
Kutafuta wanaume akukomi kwa sababu una wanaume ...watu wanatafuta furaha kila siku na fursanina wanaume tayari 🌚,gym nyingi zina wanaume tu mm natak mchanganyiko ili nikutane na wanawake tufanye mazoezi kwa pamoja