Natafuta gym nzuri temeke au tandika yenye vifaa vingi mchanganyiko wanaume na wanawake

Binafsi napenda kwenda gym mapema kipindi watu hawajaamka ili niwe mwenyewe.
 
Kikubwa zaidi ya afya, hakuna, kuwa na Afya njema jambo muhimu zaidi!!
Haya mambo sio hadi ifike hatua critical ndo uanze mazoezi. Tufanye mazoezi kuwa sehemu ya maisha yetu.
Nakutakia mazoezi mema na afya tele ndugu yangu Prisca22
asante sana maana wa tz 😂wanamawazo mgando
 
We sema tu unacho tafuta ...ni wanaume😁
nina wanaume tayari 🌚,gym nyingi zina wanaume tu mm natak mchanganyiko ili nikutane na wanawake tufanye mazoezi kwa pamoja
 
nina wanaume tayari 🌚,gym nyingi zina wanaume tu mm natak mchanganyiko ili nikutane na wanawake tufanye mazoezi kwa pamoja
Kutafuta wanaume akukomi kwa sababu una wanaume ...watu wanatafuta furaha kila siku na fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…