Natafuta Gyna mzuri..

By the Boss -huwa naifanya hiyo kazi part time
tena bure kabisaa l

Hisia zangu zinanituma kama unataka kupiga chabo nyeti za FL, sina uhakika kama hii ni fani yako ki-ukweli japo nina amini ww ni mtaalam katika nyaja flani
 
Naona umeshapewa majina yote.

Mi natumia miti shamba na bei yangu ni sawa na bure. PM me
 
mwanza wapo akina:-
Dr kilonzo
Dr Rumanyika
Dr Albert
Dr Ng'walida
Dr Gudomoka

kwa kweli ma dr wapo wengi sana, sasa labda ungeeleza tatizo lako wewe ni lipi ili usaidiwe "specifcally."
 
Clinic ya prof mgaya inaitwa Maria, iko btn st peters trafic lights na zile za namanga, upande wa ada estate.
Mbuyuni ya wapi Desdii? Manake Dar huko Mibuyu mingi.
 
Bila shaka utampata tu manake hapa JF ni kila kitu but angalia usikumbane na Hackers!
 
dr shafiq aghakhan
dr charles mhimbili- private hosp mbezi kwa msuguli
 
These guys calles gynos! They seek for problems in the place that other people seek for pleasure!
 
Ukitaka namba za hawaMagyn sema nikupe mamii

mwanza wapo akina:-
Dr kilonzo
Dr Rumanyika
Dr Albert
Dr Ng'walida
Dr Gudomoka

kwa kweli ma dr wapo wengi sana, sasa labda ungeeleza tatizo lako wewe ni lipi ili usaidiwe "specifcally."
 
Mkuu naona contact details za Prof Mgaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…