Natafuta hiki kiatu mjini Dar es Salaam

Natafuta hiki kiatu mjini Dar es Salaam

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta Nike Air Jordan ndefu. Najua Original siwezi bei au ata kuipata ikawa changamoto lakini angalau inayoendana endana na "uorijino".

images.jpeg

Ndio nishacheki za wakina Robby Fashion na David Sports wear zile za 35 naona plastic kabisa.
 
Iki kiatu bei utawez og yenyew bora uniambie unaitaji grade one
 
Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta Nike Air Jordan ndefu. Najua Original siwezi bei au ata kuipata ikawa changamoto lakini angalau inayoendana endana na "uorijino".

View attachment 2346626

Ndio nishacheki za wakina Robby Fashion na David Sports wear zile za 35 naona plastic kabisa.
nenda 4G classic vimejaa
 
Huwezi pata isiyo plastic. Fanya kutegea mtumba weka bei nzuri tuu vijana karume wakupigie kazi
 
Kuna siku nilienda David Sports Wear. Aisee, anavyo vya 35 na 45 eti vya 45 anasema ngozi.

Utacheka.
 
Mrejesho:

Nilienda Kariakoo, nikawacheki hao jamaa mdau dojonase amenipa screenshot na menbasetz wapo pale Mlimani city njia ya survey kuna kaghorofa flani.

Nimepata pale menbase kwa 120,000/=

Kiko tofauti na nilivyoviona kwingine, sema hiki ni kizuri, ngoja nione kama kitadumu.

PXL_20220924_073940738.PORTRAIT.jpg
 
Mrejesho:

Nilienda Kariakoo, nikawacheki hao jamaa mdau dojonase amenipa screenshot na menbasetz wapo pale Mlimani city njia ya survey kuna kaghorofa flani.

Nimepata pale menbase kwa 120,000/=

Kiko tofauti na nilivyoviona kwingine, sema hiki ni kizuri, ngoja nione kama kitadumu.

View attachment 2366356
Hiki at least unaweza kudanganyia maana ni ile clone ya grade 3 au 4,vile vya kariakoo ni grade 7 to 10 huko 😀
 
Back
Top Bottom