nenda 4G classic vimejaaKichwa cha habari kinajieleza. Natafuta Nike Air Jordan ndefu. Najua Original siwezi bei au ata kuipata ikawa changamoto lakini angalau inayoendana endana na "uorijino".
View attachment 2346626
Ndio nishacheki za wakina Robby Fashion na David Sports wear zile za 35 naona plastic kabisa.
Unamjua mfuko wakeIki kiatu bei utawez og yenyew bora uniambie unaitaji grade one
Haaa kasema hawezi bei pale bei ni pamotoNenda streetsoul
Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta Nike Air Jordan ndefu. Najua Original siwezi bei au ata kuipata ikawa changamoto lakini angalau inayoendana endana na "uorijino".
View attachment 2346626
Ndio nishacheki za wakina Robby Fashion na David Sports wear zile za 35 naona plastic kabisa.
Hao jamaa wana acc instagram?
Vilimbana!!!Mcheki Mwakinyo
Hiki at least unaweza kudanganyia maana ni ile clone ya grade 3 au 4,vile vya kariakoo ni grade 7 to 10 huko 😀Mrejesho:
Nilienda Kariakoo, nikawacheki hao jamaa mdau dojonase amenipa screenshot na menbasetz wapo pale Mlimani city njia ya survey kuna kaghorofa flani.
Nimepata pale menbase kwa 120,000/=
Kiko tofauti na nilivyoviona kwingine, sema hiki ni kizuri, ngoja nione kama kitadumu.
View attachment 2366356