Mbona ni 25000 au sasa wamekuambia Tsh ngapi?
Ndio bei kwa sasa nadhani pale ya juu kwa sasa ni 60K ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ni 25000 au sasa wamekuambia Tsh ngapi?
Kaleruka sasa ni pa hovyo sana. Eti wakati wa 88 walituongezea bei toka 20000 hadi 30000 na mimi nilikuwa humo zaidi ya wiki kaba ya kuanza kwa 88. Ukikaa muda mrefu wale wahudumu wanakuchoka.Jichagulie hapo.
View attachment 2582629
Ni 25,000 hata mi huwa naenda sana pale.Ndio bei kwa sasa nadhani pale ya juu kwa sasa ni 60K ,
Jichagulie hapo.
View attachment 2582629
Kaleruka sasa ni pa hovyo sana. Eti wakati wa 88 walituongezea bei toka 20000 hadi 30000 na mimi nilikuwa humo zaidi ya wiki kaba ya kuanza kwa 88. Ukikaa muda mrefu wale wahudumu wanakuchoka.
DH ni pa hovyo na kuna vitanda vya chuma na hakuna maji ya moto asububi japo msosi na chai yao asubuhi ni nzuri ila browmer ni the best, Ijumaa nakuja kulala hapo.
Nielekeze au nipe contacts za wenye hizo apartments mkuuPale ulimkuta nani? Muhudumu alikuaje? Kama ukitaka kurudi pale nieleze nikupe namba ya mmiliki na ukimpanga vizuri kwa kutaka kukaa siku nyingi tena zaidi ya mwezi anaweza kukubalansia tu vizuri, lakini best ni apartment mbeya zipo nyingi tu
Not yetThread closed
Mbeya pa ajabu sana mkuu,hizo pub zao zenyewe ukiziona unaweza kuzimiaKitu cha ajabu Mbeya ni lodges chache hazina Bar sijui kwa nini?
Ndo nilivyo elewa mie pia hivyo.Safi kwa list, lakini mtoa maada anahitaji apartment na sio lodge au hotel, yaani sehemu ya makazi kama ilivo apartment za seabreez au mikocheni unaingia na begi tu ndani unakuta jiko, vyombo vya kupikia, majiko ya gesi au umeme, kitanda, godoro, yaani siku unatoka unakabidhi nyumba ya watu wakihakikisha unatoka kama ulivoingia
Hata mie nilitaka nimshauri hivyo,Achana na hostel, mbeya n mkoa very cheap kwa mambo mengi, chamsingi ongea vizur na Wananzengo upate room self container ya 50k hapo 50k×4= 200k unajiachia mwenyewe ukitaka na vitu vya ndan utauziwa huku huku then unavyoondoka unavikabidh kwa dalali anapiga bei hela yako inarud hata kwa hasara, achana na mahostel+malodge utaweza gharama za 10k per day× 30days= 300k(laki3) kwa miezi 4 je? Uwe na 1.2milioni[emoji23][emoji23][emoji23], na hapo nimeongelea hostel/gest bubu, ukija kwa lodges bei ni kwanzia 20k -40k+ WEWE KUWEZA?[emoji23]
Tafadhari rudi mezani na uamue upya hesabu zako, achana na lodge mybe kama ww uko vzr kifedha, lkn kama mlala hoi ni bora ukajipangie kageto kako hata ukiwa unalala chini maisha ni yako bana mbeya huwa hatufuatilian kama hiyo mikoa yenu, huku kazii kazii, hapo sasa kazi ni kwako[emoji23]
Afuate huu ushauri hatopata tabu, vinginevyo labda kama yuko vzr kipesa anataka kulipa mamilion huko lodges&hotel.Hata mie nilitaka nimshauri hivyo,
Nilienda field Mbeya, nilipanga chumba self container, 50k tena kizuri balaaa, nilililipa miezi 3,
Kitanda na godoro nilinunua kwa mtu afu vizuri tyuuh, nkanunua na mazaga ya ndani fresh,
Nilikaa miezi miwili tyuuh, siku ya kuondoka godoro na kitanda niliuza tena nililiridhika kwa ile bei, vitu vingine nilimuachia jirani yangu ni mama ana familia. Mie huyo nikasepaa zangu.
Mbeyaa maisha yako simple mnooo.
Ndo maana akee, yaan tena akifanya maisha ya ghetto, atasave sana pesaa,Afuate huu ushauri hatopata tabu, vinginevyo labda kama yuko vzr kipesa anataka kulipa mamilion huko lodges&hotel.
Mbeya ukiwa na connection unaweza hata kuishi mwez mzima kwa kiasi kidogo cha pesa bila tatzo, watu wa kule wana roho nzur sana baadhi yao, ama amtafte mtu humu humu anaetokea mbeya amuoneshe machimbo mazuri....
Mpe connection za mitaa huyu asije akaenda kule akatapeliwa na machiz wa mwanjelwa arudi humu kufungua thread ya kuwatukana wanyakyusa+wasafwa[emoji23][emoji23]Ndo maana akee, yaan tena akifanya maisha ya ghetto, atasave sana pesaa,
Hata akienda kulee, siku ya kwanza afikie Guest, siku ya pili aende mtaani, atapata connection fasta tyuuh.
Kwanzaa vitu bei chee mnoo, afu vya kumwaga sasa.
Na wamalila au wandali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpe connection za mitaa huyu asije akaenda kule akatapeliwa na machiz wa mwanjelwa arudi humu kufungua thread ya kuwatukana wanyakyusa+wasafwa[emoji23][emoji23]
Bora wamalila kulko ukampa ya wale wa ileje wandali huyu atalogwa kuna mishangazi ya kindali ile inajua kukamata waume za watu mpaka unasahau kwenu..mtaftie wastaarabu kidgo[emoji23][emoji23][emoji23]Na wamalila au wandali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntampa no ya mtu wa mbeya, kutoka humu humu JF,
mie no za watu wa kule nlishapoteza hadi ya jirani huyo mama nilomuachia vitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unanichekeshaa wee mnoo.Bora wamalila kulko ukampa ya wale wa ileje wandali huyu atalogwa kuna mishangazi ya kindali ile inajua kukamata waume za watu mpaka unasahau kwenu..mtaftie wastaarabu kidgo[emoji23][emoji23][emoji23]