Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaleruka sasa ni pa hovyo sana. Eti wakati wa 88 walituongezea bei toka 20000 hadi 30000 na mimi nilikuwa humo zaidi ya wiki kaba ya kuanza kwa 88. Ukikaa muda mrefu wale wahudumu wanakuchoka.
DH ni pa hovyo na kuna vitanda vya chuma na hakuna maji ya moto asububi japo msosi na chai yao asubuhi ni nzuri ila browmer ni the best, Ijumaa nakuja kulala hapo.
Huyu pesa zipo acha alale hotel au motel ni yeye msimpangie matumizi wakuu 😆😆😆Ndo maana akee, yaan tena akifanya maisha ya ghetto, atasave sana pesaa,
Hata akienda kulee, siku ya kwanza afikie Guest, siku ya pili aende mtaani, atapata connection fasta tyuuh.
Kwanzaa vitu bei chee mnoo, afu vya kumwaga sasa.
Kama hauna pesa huwezi kuona mambo mazur utaishia kukutana na circle yako ya umasikin, ukiwa na pesa pia utakutana na circle ya kipesa pesa na mambo mazuri ambayo masikin kma ninyi mmeshindwa kuyaona, mbeya kuna sehem nzur sana ambazo gharama zake kugusia mwananchi wa kipato chako utaishia kuziona sehemu hizo kwenye Tv...tafuta pesa kijana Tughimbe hotel watu wanaBook room miez3 kwa cash na wanakaa siku 4 bila kudai chenji, WE KUWEZA?[emoji23][emoji23][emoji23]Sidhani kama mbeya unaweza kupata kitu unachokitafuta.
Mbeya ni kijiji kilicho changamka
Kwa hiyo hapo TUGHIMBE ndio sehemu ya maana kwa mbeya?patheticKama hauna pesa huwezi kuona mambo mazur utaishia kukutana na circle yako ya umasikin, ukiwa na pesa pia utakutana na circle ya kipesa pesa na mambo mazuri ambayo masikin kma ninyi mmeshindwa kuyaona, mbeya kuna sehem nzur sana ambazo gharama zake kugusia mwananchi wa kipato chako utaishia kuziona sehemu hizo kwenye Tv...tafuta pesa kijana Tughimbe hotel watu wanaBook room miez3 kwa cash na wanakaa siku 4 bila kudai chenji, WE KUWEZA?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kapange nyumba, upunguze gharama na uwe huru! Kupanga mbeya sio ghaliUtengule Coffee garden .. Pale Mbalizi kwa ndani kidogo