Natafuta hostel au lodge ya bei poa Mkoani Mbeya


Unakaa guest hadi unachokwa [emoji3]inabidi uwe unawaachia buku buku zinazobaki ili siku nyingine usichokwe
 
Ndo maana akee, yaan tena akifanya maisha ya ghetto, atasave sana pesaa,

Hata akienda kulee, siku ya kwanza afikie Guest, siku ya pili aende mtaani, atapata connection fasta tyuuh.

Kwanzaa vitu bei chee mnoo, afu vya kumwaga sasa.
Huyu pesa zipo acha alale hotel au motel ni yeye msimpangie matumizi wakuu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Sidhani kama mbeya unaweza kupata kitu unachokitafuta.
Mbeya ni kijiji kilicho changamka
Kama hauna pesa huwezi kuona mambo mazur utaishia kukutana na circle yako ya umasikin, ukiwa na pesa pia utakutana na circle ya kipesa pesa na mambo mazuri ambayo masikin kma ninyi mmeshindwa kuyaona, mbeya kuna sehem nzur sana ambazo gharama zake kugusia mwananchi wa kipato chako utaishia kuziona sehemu hizo kwenye Tv...tafuta pesa kijana Tughimbe hotel watu wanaBook room miez3 kwa cash na wanakaa siku 4 bila kudai chenji, WE KUWEZA?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo hapo TUGHIMBE ndio sehemu ya maana kwa mbeya?pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…