Natafuta internship au kazi pale nitakapo maliza Diploma 2 in computer science. Au constructive criticism

Status
Not open for further replies.

Flowerpot

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
215
Reaction score
309
Habari, mimi ni mwanafunzi IFM mwaka wa pili dip in CS(nilianza certificate). Namaliza masomo mwezi wa 7. Natafuta internship, kazi au hata ushauri wa portfolio na skills.

Nina skills za Html, css, JavaScript. JAVA (na oop), Oracle Sql, kotlin (na oop), adobe illustrator na blender 3D. Android app development. Nimependa technology tokea nikiwa mdogo hivyo muda wangu wa ziada huwa najifunza vitu vipya.

Portfolio website: Portfolio

Jana nime deploy app (no major bugs)
Nilianza na firebase firestore lakini nikaona watanzania wengi hawana internet muda wote, pia firestore offline sio reliable kabisa. Hivyo nikahamia SQLite na backup inatunzwa firebase storage attached na id ya user.
Mauzo matumizi - Apps on Google Play

Kwasasa najifunza PHP kwaajili ya final project.

Asante.

View attachment 2157575

View attachment 2157577

View attachment 2157581

View attachment 2157583
 
Last edited:
vizur
 
tatizo ujiamini wewe unahitaji huruma ww sema nina uwezo wa kitu fulani
 
Hapa hakuna cha ushauri wala nini.....
Kwanza maliza shule kijana, punguza haraka ya mafanikio. Kumbuka bado kuna kipindi cha maktaim hadi soli ya mokasini ipinde kwenye kisigino, na bado utanunua bahasha mpya hadi zichakae na zibakize alama za vidole kwa kuzibeba.
Kua mvumilivu, maliza kwanza shule alafu baada ya hapo unitafute nikupe koneksheni ya sehem ukafanye kazi kwa kujitolea na utanunuliwa chakula tu pamoja na nauli ..dadadeqi
 
tatizo ujiamini wewe unahitaji huruma ww sema nina uwezo wa kitu fulani
Mimi ninapenda kuwa realistic pia sipendi kutengeneza huge expectations. najijua strength zangu na weakness zangu. Kwa kitu ambacho mimi sio mtaalamu siwezi kujifanya nakijua.
 
🙄🙄
 
What..🤨
Unaona sasa ulivyo hauna adabu unakasirikia hadi wazazi wako...mmhhh☹️
..mbaf sana..🙁
Hahah mkuu hiyo sio emoji ya kukasirika. Ni ya kuogopa yajayo ya kubeba bahasha.
 
Ivi ukiwa bado ujapata vyeti uwezi kupata volunteer
Naulizia apa?

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Ngoja waje wanaojua mkuu mimi sijawahi kutumia TaESA. lakini tofauti na TaESA nadhani muajiri akiamua anakupa tu kazi ya ku-volunteer bila vyeti.
 
ngoja nisiandike naweza nikakukatisha tamaa. but big up kwa kujitambua mapema.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…