Shida ya mikoani unatumia kingi unapata kidogo.Kama kuna mtu anataka kujenga hospital au dispensary mkoa wa Geita, aje nimuoneshe eneo apige hela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya mikoani unatumia kingi unapata kidogo.Kama kuna mtu anataka kujenga hospital au dispensary mkoa wa Geita, aje nimuoneshe eneo apige hela.
Akina Tulinunuhahahah, usijal kwa kina Twambombo!! Ahsante kwa utabiri wako au Vision yako
Mkuu unakuja kustudy mazingira kwanza, utapata ABC kwa watu kadhaa kisha unaamua mwenyewe. Muhimu tu kua na wataalamu wa uhakika, wananchi watakupenda sana.Shida ya mikoani unatumia kingi unapata kidogo.
jengo la ghorofa mbili vyumba 24 litakufaa? eneo Tegeta. Nimejaribu ku PM sijafanikiwaHabari! Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya/Kukodi hospital kama kuna madalali au watu wenye connection humu karibuni!!
Mkoa wa Dar es salaam
Vigezo!
- Gorofa 3 au 2 au 1
- vyumba 25 na kuendelea
- Parking space
- Panafikika kwa urahisi
- Iwe sehem ambayo watu wa class zote wataweza kupata huduma
- Isiwe maeneo ya Masaki, au oysterbay
Kwa maelezo zaidi karibu PM
Shukrani!
Shida ya mikoani unatumia kingi unapata kidogo.
Upo Sahihi kabisaInategemea na mahali unaweke clinic/Hosp mkuu. Naamini Utakua unafahamu, it is not just about opening a clinic, it is not just about opening a hospital, there's much more that goes to it than the healthcare part of it.
Dar inaweza kuonekana kama ni sehemu nzuri sana kwa sababu ya Population yake + upatikanaji wa wataalam wengi. Ila kwa startup, inabidi uchukue muda kuweka strategy zako vizuri kuweza ku'compete na "big boys" waliopo kwenye industry muda mrefu sana. Ndio maana mtu anaweza kutoka Kimara akaenda kutibiwa Kairuki au Aga Khan. Wakati kuna Hospitali huko huko alipo na walą sio kwamba anapata huduma bora sanaaa ni vile tu alishajenga imani na hiyo taasisi.
Binafsi, naamini ukifanikiwa kujipanga ukawezekeza kiwango hicho hicho kwenye manispaa fulani huko mkoani with the same strategy ungeweka Dar. Uko na chance kubwa sana ya kupanuka ndani ya muda mfupi.
ungeweka na namba tu au unahofia matapeli?Habari! Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya/Kukodi hospital kama kuna madalali au watu wenye connection humu karibuni!!
Mkoa wa Dar es salaam
Vigezo!
- Gorofa 3 au 2 au 1
- vyumba 25 na kuendelea
- Parking space
- Panafikika kwa urahisi
- Iwe sehem ambayo watu wa class zote wataweza kupata huduma
- Isiwe maeneo ya Masaki, au oysterbay
Kwa maelezo zaidi karibu PM
Shukrani!