Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya Hospital

Shida ya mikoani unatumia kingi unapata kidogo.
Mkuu unakuja kustudy mazingira kwanza, utapata ABC kwa watu kadhaa kisha unaamua mwenyewe. Muhimu tu kua na wataalamu wa uhakika, wananchi watakupenda sana.
 
jengo la ghorofa mbili vyumba 24 litakufaa? eneo Tegeta. Nimejaribu ku PM sijafanikiwa
 
Shida ya mikoani unatumia kingi unapata kidogo.
Inategemea na mahali unaweke clinic/Hosp mkuu. Naamini Utakua unafahamu, it is not just about opening a clinic, it is not just about opening a hospital, there's much more that goes to it than the healthcare part of it.

Dar inaweza kuonekana kama ni sehemu nzuri sana kwa sababu ya Population yake + upatikanaji wa wataalam wengi. Ila kwa startup, inabidi uchukue muda kuweka strategy zako vizuri kuweza ku'compete na "big boys" waliopo kwenye industry muda mrefu sana. Ndio maana mtu anaweza kutoka Kimara akaenda kutibiwa Kairuki au Aga Khan. Wakati kuna Hospitali huko huko alipo na walą sio kwamba anapata huduma bora sanaaa ni vile tu alishajenga imani na hiyo taasisi.

Binafsi, naamini ukifanikiwa kujipanga ukawezekeza kiwango hicho hicho kwenye manispaa fulani huko mkoani with the same strategy ungeweka Dar. Uko na chance kubwa sana ya kupanuka ndani ya muda mfupi.​
 
Upo Sahihi kabisa
 
ungeweka na namba tu au unahofia matapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…