Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Awe me au ke mkuu?
yoyote mpenziAwe me au ke mkuu?
mwenyewe nashindwa mkuu pushap moja nalala mpaka keshoAcha uvivu mkuu,mazoezi tu hadi kuwe na 'stata'?
Soma vizuri ameandika all gender i.e. Straight, Gay, Lesbian, Bisexual.Awe me au ke mkuu?
mwenyewe nashindwa mkuu pushap moja nalala mpaka kesho
yap tunaenda uwanjani sio homeMi nakaa Goba, vipi si ninaweza kuwa nakuja tunafanya mazoezi halafu naenda kwangu?
poa poaMimi niko Arusha... Vip siwez kua partner mara moja moja ukija chuga??
yap tunaenda uwanjani sio home
utaondoka unakimbia mpaka gobaOkay, unakaa jirani na uwanja?
Kuoga vipi mazoezi yakiisha, ili jasho lisije kugandiana kwenye mwili kabla sijafika kwangu.
Umejitokeza kwa wakati muhafaka, hata mimi nilikuwa nahitaji partner wa Jogging. Kumbuka! Nahitaji partner na si partners.Jogging partner!!
Awe maeneo ya mbezi beach
Muda wa mazoezi saa kumi na moja hadi saa moja jioni
Hakuna biashara ingine
All gender
hayo ni mawazo yako mkuu . sasa tutatiana huko uwanjani? mazoezi hatufanyi chumbani jamani kuna uwanja jiranimkianza jogging pamoja , then mko close katika kutembea ama mazoezi mepesi, jasho la mwanamke na mwanaume+jasho la mwanamke = mhemuko kwa wote. hakuna maswali. mtatiana tu!!!!!! hiyo chemistry hata sijui inafanayje kazi wataalam wa bilogia watwambie hapa. ndio maana hawa persnal trainers wanawakula sana akina mama kiulaini. mlioooa kama mama anenda GYM kwa personal trainer wewe haupo ushaliwa!!! maaan mama akiona ile misulii heheehe. mie spo na siwezi kuwa partner maana utaniingiza majaribuni bure!!
tukiwa wengi si ndo raha mkuu?Umejitokeza kwa wakati muhafaka, hata mimi nilikuwa nahitaji partner wa Jogging. Kumbuka! Nahitaji partner na si partners.