Natafuta jogging partner

Natafuta jogging partner

Nipe namba ya simu tuwasiliane nitakuwa nakukimbiza toka salenda mpaka mwenge utakuwa fresh
 
poa nishtulie nina kg mia mwenzio nitapasuka

Ila gym ingekuwa powa sana, wale wana vifaa vingi sana na wanakupa mazoezi kulingana na mahitaji.

Bila kusahau diet ya mauwaji, mi nimeona wife amepungua kutoka kg 85 mpaka sasa ana 60 bila hata kumeza yale madawa yenu ya alovera sijui slim nini.
 
gym hela sina bwana
laki mbili kwa mwezi nitatoa wapi
 
gym hela sina bwana
laki mbili kwa mwezi nitatoa wapi

Kuna gym za bei rahisi, kama 100,000 kwa mwezi pia.

Kuna moja ya AAR iko Mikocheni, kama uko interested nitafute direction nikuelekeze.
 
Mi kwa wiki nakimbia Mara tatu toka salenda mpaka mwenge kama upo tayari namba hiyo 0622 /0718294199
 
Karibu siku moja moja hutajuta nina kimbia (jogging) kutoka kijitonyama napita sinza via ubungo stend kuu nakata kona chuo kikuu natokea mlimani city to mwenge mpaka kijitonyama
Jumamosi Na Juma pili naanzia sayansi napitia kwa mwalimu nyerere moja kwa moja mpaka moroko to Victoria namalizia sayansi tena.
Hutajuta karibu sana tukung'ute uzee
 
Jogging partner!!

Awe maeneo ya mbezi beach

Muda wa mazoezi saa kumi na moja hadi saa moja jioni

Hakuna biashara ingine

All gender
Safi mkuu,ungekuwa unaishi maeneo ya pugu tungetengeneza bonge la kombinenga,nimeaamia maeneo haya majitu hayapendi mazoezi aisee...
 
Karibu siku moja moja hutajuta nina kimbia (jogging) kutoka kijitonyama napita sinza via ubungo stend kuu nakata kona chuo kikuu natokea mlimani city to mwenge mpaka kijitonyama
Jumamosi Na Juma pili naanzia sayansi napitia kwa mwalimu nyerere moja kwa moja mpaka moroko to Victoria namalizia sayansi tena.
Hutajuta karibu sana tukung'ute uzee
duuuh utaniua mkuu
 
Dah, hii ni route ya mauaji
 
Back
Top Bottom