Natafuta jogging partner

Natafuta jogging partner

Mi kwa wiki nakimbia Mara tatu toka salenda mpaka mwenge kama upo tayari namba hiyo 0622 /0718294199
Mbona ruti Dogo sana hilo? Mm nakimbia toka masaki via moroko mpaka magomen then napita muhimbili salendaer to coco beach kisha narud kumaliza Na fitness za kawaida....hii n daily routine kila ifikapo saa kum Na moja jionii
 
Utapata wengi kweli wake kiume manake wanawake wivu mwingi.bahati siishi huko ningekutafuta tufanye mazoezi
 
Ila gym ingekuwa powa sana, wale wana vifaa vingi sana na wanakupa mazoezi kulingana na mahitaji.

Bila kusahau diet ya mauwaji, mi nimeona wife amepungua kutoka kg 85 mpaka sasa ana 60 bila hata kumeza yale madawa yenu ya alovera sijui slim nini.
zoezi la ukweli ni kukimbia tu mkuu,kikubwa uwe na vifaa rafiki vya mazoezi,mp3 raba nyepesi na tracksuit ya kubana mwili,baada ya wiki lete mrejesho hapa,ukikimbia unatikisa mwili wote kasoro masikio tu!
 
Nani yupo Goba tuwe tunakimbia wote ndugu zanguni. Nina ustahimivu wa kukimbia umbali mrefu.
 
Mi npo tayari!lakin tupime kwanza afya!!!!ili niwe nauhakika nikizidiwa tucheze kuch kuch hotaheee!!!!Au vp my????
 
Ila gym ingekuwa powa sana, wale wana vifaa vingi sana na wanakupa mazoezi kulingana na mahitaji.

Bila kusahau diet ya mauwaji, mi nimeona wife amepungua kutoka kg 85 mpaka sasa ana 60 bila hata kumeza yale madawa yenu ya alovera sijui slim nini.
Gym trainer hajakuchapia boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom