Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

Mkuu unatafuta pesa za nini?
Utazikwa nazo?
Hujui pesa au uchumi wako ndio uhai wako?

Hata kama pesa hutozikwa nazo kwa namna moja au nyengine hutumika kuwaacha watoto wako katika hali nzuri ya kimaisha kwa maisha yao watakayoishi hapa duniani( kuzifuja hela ulizowaachia ni juu yao).

Mwanaume tunza kibunda chako na uchumi wako huo ni uhai wako .

Huoni usipokuwa na hela unahaha kama mbwa aliekosa maji akiwa jangwani?😂
Wanawake hawana shukrani.... Wekeza hela yako kwa familia yako bila ya kujisahau mwenyewe.

Final uzeeni
 
This is mental case

Mtu anasema anatafuta rafiki lakini kwa style ya kufanya contest ya watu kuchuana kuwa rafiki yake

mcTobby min -me Nomadix hii mnaionaje , hii si ni kama trans atlantic slave route au huyu binti ana msongo au nongwa tu
Kwa historia yake aliyoeleza kwenye uzi wake haistaajabishi mkuu, mtu kuacha asili yake huwa ngumu sana hata akiacha vijitabia hubaki, ishu sio mental case hii tusiwasumbue mirembe bure
 
Back
Top Bottom